Picha hii ndiyo ndinga mpya ya diamond!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,715
Katika ukurasa wa Instagram tttrautouprades, wabunifu na waongeza vionjo vya shape za magari makali wameonyesha ndinga jipya la msanii diamond platnumz.
Landcruiser 200 series
 
Dogo waekeze katika mambo ya muhimu, wapo wenzie waliwekeza visivyo na sasa wapo hoi.
Hapa wabongo ndio nnapowapenda tu...kama vile wewe umewekeza hivyo vitu unavyomwambia mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…