Picha hii inasikitisha...Ichunguze kwa makini.

Picha hii inasikitisha...Ichunguze kwa makini.

Mkeshaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,258
Reaction score
1,418
Ichunguze picha hii kwa makini. Tafakari na utoe mchango wako hapa:

919621_297258700405647_1725153652_o.jpg
 
Kuwa raisi wa hizi nchi maskini ni lawama! source: mimi
Uraisi ni Mzigo! Source :JK Nyerere
 
Hahusiki na hayo, kwani ni yeye ndio aliyeandika ilani hii ya CCM?
 
Naona mapicha mengi ya mazao na watu wako kwenye daladala za Tegeta, Rais wetu Mtukufu Kikwete,na mwingine analia nadhani ni Zanzibar msiba wa Bi kidude.
 
Nawalaumu watanzania wenzangu kwa kosa kubwa tulilolifanya mwaka 2005. Sio kila mtu anaweza kuwa kiongozi bora na sio uongozi bora uko kwa kila mtu. Angalia mnazi au mchikichi unaweza kuota Kilimanjaro? umewahi kuona karafuu Iringa au Songea?Sisi wengine tuna asili ya shuhuli au ngoma, wengine utapeli na wale ndugu zangu ushirikina, sasa tusirudie makosa pamoja na kiongozi kutoka kwa Mungu ni wazi sisi watanzania tuna nafasi ya kufanya maamuzi yanayofaa, maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom