MY TAKE:
Picha inanipa jawabu la kwanini ngeleja amekuwa akisita kumjibu makamba hadharani kuhusiana na barua aliyomhandikia. kila siku mara nimepokea barua sijaisoma, oh mara nitamjibu kwa barua kama alivyoniandikia wakati akijua wazi kuwa haya ni mambo yanayouhusu public.Hapa inaonekana kiana ngeleja akijaribu kumuimbisha kuhusu dowans. watalaamu wa body language naomba mtusaidie.