Inanikumbusha utawala wa huyu mzee, alikuwa anakandamiza sana watu.
Mungu ribariki kanisa langu katholiki la mitume,Mungu mbariki Dr.Slaa rais wetu mtarajiwa 2015,Mungu mbariki wetu Mhashamu Cardinali Pengo,Zaburi 23.
Hii picha inanikumbusha jinsi Urais ulivyokuwa unaheshimiwa na kuogopwa. Hapo Mzee Malecela unaona alivyoweka mikono yake Kama anaomba dua huku akimsikiliza Mzee mzima. Pia inanikumbusha enzi ya Chon-li na Kaunda suti za vitambaa vya URAFIKI TEXTILE.
Nyerere ni "mdogo wangu" kimila na desturi. Yeye alikuwa mtani wetu mzuri sana. Uliza usimuliwe stori ya marehemu Batenga alivyosomba tofali za Nyerere pale kwake Msasani. Umenielewa?
Nyerere ni "mdogo wangu" kimila na desturi. Yeye alikuwa mtani wetu mzuri sana. Uliza usimuliwe stori ya marehemu Batenga alivyosomba tofali za Nyerere pale kwake Msasani. Umenielewa?
Aliwakandamiza waliotaka tuuze madini na wanyama (vitalu vya kuwinda) na wale aliowaona wana tamaa, na watatupeleka kubaya. Siwajui, nahisi. Lakini ameatuachia mali zetu, ametuacha angalau na mwanga wa kielimu kidogo. Tuharibu sisi wenyewe. Mlaumuni, lakini angeuza madini yetu kama kina Mabotu tungelikuwa na nini. Watu wanampiga vita hasa wazungu na wenye damu ya ufisadi sababu aliwabania mali za nchi. Tumuenzi hata kwa mapungufu yake machache.Inanikumbusha utawala wa huyu mzee, alikuwa anakandamiza sana watu.
Nyerere ni yupi katika hao?
Nyerere ni yupi katika hao?
hayoko pichani!
Batenga ndo yule aliyemtapeli mwalimu kuhusu matofali?