Mkuu kama kweli then wewe ni kikongwe pitiliza.. utakuwa kwenye 90+.. Kama c kweli itakuwa ni dharau kwanza kwa mkubwa wako.. pili kwa kiongozi wako na tatu kwa Marehemu..
Kwakeri kama akifufuka nakukuta akina watoto wa wakubwa wanakula nchi hii wanavyotaka anazimia hapoapo jamani, enzi za mwalimu mwenye pesa alikuwa anaiogopa serikali lakini leo nikinyume wizi mtupuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu kama kweli then wewe ni kikongwe pitiliza.. utakuwa kwenye 90+.. Kama c kweli itakuwa ni dharau kwanza kwa mkubwa wako.. pili kwa kiongozi wako na tatu kwa Marehemu..
Nyerere ni "mdogo wangu" kimila na desturi. Yeye alikuwa mtani wetu mzuri sana. Uliza usimuliwe stori ya marehemu Batenga alivyosomba tofali za Nyerere pale kwake Msasani. Umenielewa?
Nyerere ni "mdogo wangu" kimila na desturi. Yeye alikuwa mtani wetu mzuri sana. Uliza usimuliwe stori ya marehemu Batenga alivyosomba tofali za Nyerere pale kwake Msasani. Umenielewa?
Inanikumbusha mzee aliyeichukia rushwa na uhujumu uchumi (ufisadi) kwa vitendo na bila unafiki. Baba wa Taifa aliyelipenda Taifa lake. Maskini akakosa support kutoka kwa watu wake. R.I.P Julius.
hawa wazee no ufisadi, suti ya mzee mzima iliungua na pasi wakati mama anaianda asubuhiii, nadhani kwa kuwa rate ya ufisadi ilikuwa ndongo, hakuona noma, lakini sasa suti mwapeleka dry clearner Uk, huwezi vaaa hivyoooo