Wanatumia masaa 5 kusafirisha kwenda kuhifadhi, badala ya kutumia saa moja hadi mbili kuzika.Kwanini wasizike uko uko mtu akishakufa amekufa mwili hauna thamani ukishatoka roho
mpangaji wa hiyo miili kupandishwa bodaboda au??Mungu ndiye mpangaji wa yote
Wa Africa tunapenda sana Maiti kuliko hata Mgonjwa!!Kwanini wasizike uko uko mtu akishakufa amekufa mwili hauna thamani ukishatoka roho
Sijui tumelaaniwaWa Africa tunapenda sana Maiti kuliko hata Mgonjwa!!
Ungekuwa Dkt ungeelewa, sawa!?Kwa hiyo maiti kavalishwa gambuti, anavuka maji au
Maanake niniUngekuwa Dkt ungeelewa, sawa!???
Mkuu nimecheka kama vile mazuri, imagine na misitu ya congo afu boda yuko na maiti pekee, mara maiti inamsemesha kuwa apunguze mwendo...Kwa hiyo maiti kavalishwa gambuti, anavuka maji au
Hatari sana wana moyo aiseeMkuu nimecheka kama vile mazuri, imagine na misitu ya congo afu boda yuko na maiti pekee, mara maiti inamsemesha kuwa apunguze mwendo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu si kila mtu mfuasi wa MudiHao wajinga sana,,maiti inaziiwa popote,sio lazima kusafirisha