Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,370 Reaction score 14,517 Sep 27, 2020 #1
Rasputin JF-Expert Member Joined Mar 13, 2018 Posts 557 Reaction score 692 Sep 27, 2020 #2 Wewe umefikiria nini??
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,370 Reaction score 14,517 Sep 27, 2020 Thread starter #3 Methew-bt said: Wewe umefikiria nini?? Click to expand... Unataka nikutafunie??
K Kitumaki JF-Expert Member Joined Jun 26, 2019 Posts 388 Reaction score 313 Sep 28, 2020 #4 Wagombea wa CCM wanaroho ngumu sana. Vinginevyo wasingemsogelea mtu aliyepo ndani ya nyumba hii kumweleza mambo ya ndege, stigila au flayover
Wagombea wa CCM wanaroho ngumu sana. Vinginevyo wasingemsogelea mtu aliyepo ndani ya nyumba hii kumweleza mambo ya ndege, stigila au flayover
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,370 Reaction score 14,517 Sep 28, 2020 Thread starter #5 Kitumaki said: Wagombea wa CCM wanaroho ngumu sana. Vinginevyo wasingemsogelea mtu aliyepo ndani ya nyumba hii kumweleza mambo ya ndege, stigila au flayover Click to expand... Km unamfuatilia Mzee wetu muda huu,nafananisha hotuba yake na picha hiyo.
Kitumaki said: Wagombea wa CCM wanaroho ngumu sana. Vinginevyo wasingemsogelea mtu aliyepo ndani ya nyumba hii kumweleza mambo ya ndege, stigila au flayover Click to expand... Km unamfuatilia Mzee wetu muda huu,nafananisha hotuba yake na picha hiyo.
X-Agent JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,985 Reaction score 17,099 Sep 28, 2020 #6 Kuna tofauti gani na Lissu anaewatoa nakuwaambia atawapandishia mishahara ili hali bado watu wengi hata ile elimu basics kabisa yakujitambua na kuweza kuajiriwa bado wengi hawana ? Hongera Magufuli kwa kuleta elimu Bure!!
Kuna tofauti gani na Lissu anaewatoa nakuwaambia atawapandishia mishahara ili hali bado watu wengi hata ile elimu basics kabisa yakujitambua na kuweza kuajiriwa bado wengi hawana ? Hongera Magufuli kwa kuleta elimu Bure!!