Picha hii inaashiria nini?

Picha hii inaashiria nini?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
46,308
Reaction score
98,248
Mzee akiwa anasubiri mafuta,,huku swaumu ikichukua nafasi yake
 
Attachments

  • mafuta + swaumu.jpg
    mafuta + swaumu.jpg
    3.5 KB · Views: 188
Anakumbuka siku aliyopiga kura. Anajutia pilau na flana alivyopewa kwenye kampeni. Vyote vimeisha, sasa ni kasi zaidi, nguvu zaidi, wizi zaidi
 
Anakumbuka siku aliyopiga kura. Anajutia pilau na flana alivyopewa kwenye kampeni. Vyote vimeisha, sasa ni kasi zaidi, nguvu zaidi, wizi zaidi
yap anajutia yeye pamoja na asilimia 61 ya waliopiga kura!
 
Anatafakari jinsi ustaadhi mwenzao alivyo chemsha kwenye uraisi.
 
Kwan ubebaji wa petrol kwa kutumia vidumu si ulipgwa marufuku? Au zilikuwa longolongo tu!
 
majuto na ugumu wa maisha! tofauti na matarajio ya wengi, hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom