Picha hii ina walakini kiprotokali

Kwa mawazo yangu naona mpangilio wa waheshimiwa katika picha hii haujakaa vizuri. Kwa wataalamu wa sayansi ya siasa,protokali na itifaki tunaomba mtusaidie mawazo.
Huyu mange katuteka akili ,haipiti siku bila kutmbelea ukurasa wake.hasara sana
 
Mkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
Kwani huyo mama mwenye njano ni na wa mkulu?
 
Kama hivyo na wale waliofungwa kwa kufoji vyeti waachiwe
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-Tanzania) Bw. Karl Fickenscher na viongozi wengine katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na watendaji wa MCA-Tanzani
 
Mkuu kwanza pole sana kwa maana povu limekutoka ila naomba nkuulize hivi wewe unaifahamu vizuri ITIFAKI?ukijibu ndo na mimi ntakuja na neno
 
Bashite ndo first lady mama janet ni second na yeye amekubali kukaa hapo kwel huyu bashite ni zero
 
Hajakosea kabisa,dereva na konda
 
Kwenye picha aliyoweka muanzisha uzi, Rais Magufuli anafuatiwa na Mkuu wa mkoa, halafu mama Janeth.
Ukiangalia post #26, Kikwete anafuatia mkuu wa mkoa wa Morogoro na Salma Kikwete.
Haya huyu Joel Bendera nae ni First Lady wa Kikwete?
 
Watanzania tungekuwa na uwezo kama wa Rwanda kwenye uchumi na kielimu nahisi wengi tungekuwa maprofesa vichaa wa kufuatilia ujinga
 
Kwa mawazo yangu naona mpangilio wa waheshimiwa katika picha hii haujakaa vizuri. Kwa wataalamu wa sayansi ya siasa,protokali na itifaki tunaomba mtusaidie mawazo.
Kwamfano post kama hii akija kuisoma mtu wanje ya Tanzania au hata mtanzania anajielewa tunaonekana watu Wa ajabu sana..

Mtu mzima unaenda dukani kununua kifurushi kwa lengo la kupost upumbavu huu kweli?
Ifike mahali jukwaa hili liwe na kuelimisha, na kufurahisha sio kuleta upumbavu..

Hivi angekuwa babaako ndio anawekwa hivyo ungejiskiaje?
Kwanini mnkauwa wajinga kiasi hiki? Mnakimalia vitu hata ambavyo havisaidii kwalolote wala haviwezi kukuongizia kipato kwa siku?

Hivi mamaako na babaako ndio walivyokufundisha?

Wakat mwingne mtu yoyote hawezi kuthamini mchango Wa mawazo yako kwakuwa hayana maana..
Kwa ujinga kama huu hata uongee wazo lenye mantiki utazidi kupuuzwa tu kwakuwa tu umekuwa muumini Wa upumbavu..
 
Kwenye picha aliyoweka muanzisha uzi, Rais Magufuli anafuatiwa na Mkuu wa mkoa, halafu mama Janeth.
Ukiangalia post #26, Kikwete anafuatia mkuu wa mkoa wa Morogoro na Salma Kikwete.
Haya huyu Joel Bendera nae ni First Lady wa Kikwete?
Mkuu hayo makengeza yako ni ya kiwango cha lami.
 
Hakika kuna watu akili zao sijui zikoje.. Watu wazima wamekalia majungumajungu tu ...
 
Mkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
Mtu ambaye hawezi kuwa na adabu kwa mkuu wake ni yule tu aliyezaliwa na kulelewa kwenye danguro...
Huyo hawezi hata kuwa na heshima kwa babaake wala mamaake kwani michezo anayofanyiwa mamaake anaiyona..

Huna adabu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…