Picha hii ina maana gani

Picha hii ina maana gani

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,401
Reaction score
7,900
.
FB_IMG_1632689869860.jpg
 
Ugomvi wa wazazi (talaka/kuachana) hupelekea watoto kuingia katika shida (mazingira hatarishi).

Mfano hapo wameweka vijana wanaotumia madawa ya kulevya.
Mbona kama wazee hawa, nilidhani baada ya ugomvi watoto wanalelewa na bibi/Babu japo na hiyo uliyosema ipo!
 
Mbona kama wazee hawa, nilidhani baada ya ugomvi watoto wanalelewa na bibi/Babu japo na hiyo uliyosema ipo!
Hujaangalia vizuri mkuu hao sio wazee ni mateja. Angalia alieko upande wa kushoto anamchoma mwenzake sindano ya madawa mkononi.

Ambapo anaedungwa sindano amejifunga kamba ili mshipa uonekane kirahisi na kamba ameing'ata kwa meno.
 
upendo, umoja, ushirikiano na maelewano ndio nguzo ya kumlea mtoto katika maadili mema .inapotokea upendo, ushirikiano maelewano na umoja havipo katika familia mtoto hukua katika hali hatarishi inayoweza kupelekea kuangukia katika makundi na tabia zisizo salama kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom