si FUNGUA FANTA UNYWE au kuna maana nyingine?????????????hao ni vijana wachace, waanze maandamano waijue maana ya FFU kwa ukamilifu wake.
hao ni vijana wachace, waanze maandamano waijue maana ya FFU kwa ukamilifu wake.
hao ni vijana wachace, waanze maandamano waijue maana ya FFU kwa ukamilifu wake.
Bila shaka unadhani kwa msimamo wako huo wewe uko salama!hao ni vijana wachace, waanze maandamano waijue maana ya FFU kwa ukamilifu wake.
serikali ina mipesa
Da mzee na wewe police nini pole sana maana naokuona unavyoshindwa kuimudu familia yako mke na watoto kwenye mlo tu wa kila siku,Kwa nini usitoke utafute dili nyingine kakahao ni vijana wachace, waanze maandamano waijue maana ya FFU kwa ukamilifu wake.
Hapa ndipo huwa najiuliza wakati mwingine,polisi wote hawa na silaha zote hizi ni kwa ajili ya nini?Kama mtu anapita barabarani bila kufanya lolote kuna haja gani ya kutumia nguvu zote hizi kwa ajili ya watu wanaotaka kuleleza hisia zao?
Nimegundua kuwa serikali yetu inayaogopa sana maandamano baada ya kuona mifano nchi nyingine yalipotumika kuwaondoa watawala.
Nimemsikia waziri mkuu akisema kuwa maandamano yanawafanya washindwe kufanya kazi au kila mara peoples....power,inawanyima usingizi hii kauli maana wanajua tu wananchi wakihamasika nchi haitawaliki.
wasamehe ndugu yangu hawajui watendalo hata kwenye mwanga huu wa jua wao bado wapo gizani