Picha :Hatuvamiwi tena vituoni

Picha :Hatuvamiwi tena vituoni

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
Tumejiandaa....
 
Attachments

  • 1437753335938.jpg
    1437753335938.jpg
    58.7 KB · Views: 1,543
Nadhani hawa ni askari wa Hifadhi za Wanyama wakijiandaa kupambana na majangiri.

Hata nchi zenye ubabe kama wa Idd Amin hawezi kuwapa silaha za namna hii Polisi wanaokwenda kukabiliana na raia wasio na silaha.
 
Askari wenyewe wa Tanzania ambao hawachelewi kusema "Mara ribunduki rake rikajitriger, hajakaa sawa, rikajifyatua bira yeye kujua. Bahati mbaya rikamgeukia marehemu na kumjeruhi na ndipo aripokata roho bira kukusudia".

Mambo haya!!!!!
 
Bita ni bita muraaa
 
Ukija na fisi tu unawamwagia wakati wanahangaika kuokota unawafyatua
 
Nadhani hawa ni askari wa Hifadhi za Wanyama wakijiandaa kupambana na majangiri.

Hata nchi zenye ubabe kama wa Idd Amin hawezi kuwapa silaha za namna hii Polisi wanaokwenda kukabiliana na raia wasio na silaha.

sjajua kama n akili yako haina akili? Au n kwamba huelewi bado sjajua.
 
Back
Top Bottom