Sisi tuko busy na Posta yetu. Maana kila movie tutapaonyesha, akija Kagame tutamzungusha mtaa huu na kutokea upande wa pili lazima watakubali kazi.
Aiseee kwakusema ukweli Bongo vimejaa vibanda tu mitaani.
Huku uswahilini kwetu kuko hovyo lakini eti ndo jijini hapa.