PICHA & HABARI; Jinsi CHADEMA walivyoiteka Makambako jana!!

Mapambano na mafisadi sasa imekuwa mteremko kama mto Nile hongereni makamanda wote
 
Imetulia sana,na inafurahisha katika maelezo pamoja na picha zake,peoples power.
 
Ndio tuna akaunti na Cheki zipelekwe katika Akaunti ya M4C, CRDB Bank Ltd au National Bank of Commerce Ltd. M4C stands for "MOVEMENT for CHANGE".

Edwin Mtei,
Muasisi na Mwenyekiti (T) Mstaafu, Mjumbe wa C.C.

"CHADEMA IS EVERYWHERE" Hivi uchangiaji kupitia mobile phone bado upo? tunataka na tunaweza kuwavua magamba na kuwavisha magwanda tukiwa sehemu yoyote ile....peopleee
 

we nawee!!! unakurupuka hovyo kweli! yaani mpaka umenifanya ni log-in. uliyemjibu Feedback ni kamanda sana tu. Ugeni unakutesa kweli humu. Aaahggh. umeniharibia siku tu hapa
 
Sikutegemea kuona wahehe, wabena na wakinga kuikubali Chadema namna hii. Nahisi sasa ni mwanzo wa mwisho wa CCM
 
utoto unakusumbua, miaka ya nyuma ccm ilikuwa na mwezi wa mshikamano , ambapo wanachama, wapenzi walikuwa nanachangia chama kukua , kusitawi.sasahivi hilo wameliuaa magamba sababu wanachangiwa na mafisadi na kuchukua fedha za bajeti kwa nguvu ili kuendesha chama.Mfano ni wapi inakubalika vikao vya chama cha siasa kam CC kufanyiaka ikulu kama si kupora rasilimali za umma?na pia CCM(MAGAMBA); ni wanaweza kufanya mshikamano wakati ni chama cha matajiri?wananchi walio hoi si tabaka la wanachama wanaotakiwa ccm, hata wewe hutakiwi.Hata hivyo serikali ya magamba ni kipi wamefanya mpka wajnge mshikamano?ni wananchi gani atakubali kuwachamgia kama si kuwazomea?wao wameona polisi ndo chombo cha ccm kutawala.
 
Watu wamechoka, kinachohitajika ni Elimu makini na sahihi, kuwaeleza ukweli na udhaifu unaowaumiza kila siku maishani mwao. Pasipo elimu bayana na makini bado kazi itakuwa kubwa, wanaweza shangilia ila wasichukue hatua muhimu ya kuondoa waliochoka CCM na kuweka wenye hamu ya kuleta mabadiliko CDM. Tuwaelekeze bila kuchoka, tuwaamshe waliolala, tuwapandishe hasira kwa kuwaonesha ukweli, tofauti na wanavyotumiwa na wachache kwa manufaa binafsi. Hongera sana kwa kazi hii kubwa iliyofanywa na wapiganaji hawa, songeni mbele maana wakati wa mavuno umekaribia. We shall overcome... very soon we will be there.
 
Mwandishi wa habari hii unastahili pongezi ni habari ya kina, yenye vielelezo. Endelea na kazi lete habari kwa ukamilifu amsha walio na mashaka watie moyo wenye nafsi tepetepe... 'songa mbele'
 
hamna lolote, picha
zakuunganisha (photoshop) cdm mnazd kujdanganya2 huku kusini hamna
hatuendeshwi kwa mkumbo kama mnavyofanya nyny, sisi tunatathimi
nakuchambua kwakina siyo kukurupuka2, ccm n makini sana, cdm upepo
wamda2.

Unajijua kwamba wewe ni ndondocha?Uko wapi huo umakini wa CCM, usijidanganye wewe . Nenda kadanganye watoto wenzio.
 
Habari za kiiteligensia zinaonesha Mh. Joshua Nasari ametoa maneno ya uchohezi, Anatafutwa na polisi lakini kwa bahati mbaya amezima simu yake, ifikapo jioni leo tutaanzisha msako mkali, na hili halitaishia kwa Nasari tu, bali kwa wote wenye lengo la kuvuruga amani na utulivu nchini, ikiwepo kuitisha mikutano isiyo na tija na kusababisha wananchi kuacha kazi za kuleta maendeleo ya taifa na ya kwao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…