(PICHA) GODBLESS LEMA wa UKWELI M4C

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
SAM_3166_thumb%25255B2%25255D.jpg

Godbless Lema make cheers with other delegates in one of the scenes in the advertisement purposely designed to address the issue of people’s direct participation in the movement for change countrywide, especially those who are eager to see the changes they wish to see in different aspects, politically, socially and economically. Among others, it includes people’s contribution to the party (CHADEMA) that can be either in terms of money, goods, materials etc so as to help the m4c message got spread to different corners of the nation


SAM_3113_thumb%25255B2%25255D.jpg

SAM_3114%25255B4%25255D.jpg






























SAM_3140%25255B4%25255D.jpg







 
naona mkamerun yuko nyuma nyuma tu.vp ndio kutuambia kua na wao wamoo?
 
dah! SIASA raha eeeeh! Watu wanagonga tu juice! Mh! Sijui na Mimi na ualimu wangu huu ni lini nitakwea pipa hata kutoka KIA hadi uwanja Arusha (kilimo anga)
Ila ni ka kwenye harusi? Au ndo harusi ya M4C?
 
Kamanda lema komaa hichi chama chamabwepande tulisha kichoka maana kina miaka hamsin kimesha zeeka ile mbaya,kama nimwanamke hawezi kuzaa lema komaa hawa wameisha hawa mungu akuongoze na akulinde
 
Jamaani Lema kumbe kaenda kwenye harusi halafu mnasema ameonana na meya upuuzi huu.Toeni uchafu hapa
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mungu mbariki Lema wetu pamoja na M4c kwa ujumla.
wengi hapo awali walimuona Lema kama mtu mwenye 'akili ndogo' na kudhani kuwa kwa kupata Ubunge wa Arusha mjini alikuwa amefikia malengo yake kimaisha kama ilivyo kwa ma-MP wengi hapa bongo lakini inaelekea huyu bwana kama yeye anavyojipambanua, ana mawazo ya mbali zaidi ya alivyodhaniwa!
 
Jamaani Lema kumbe kaenda kwenye harusi halafu mnasema ameonana na meya upuuzi huu.Toeni uchafu hapa

Harusi gani wanatumia vitambaa vyenye nembo za chadema? harusini wanaenda na bango la m4c?. usishangae mkuu, hiyo yote ni mipango iliyo pangika. mia
 
Nyie magamba fungukeni akili zenu mgando; hiyo harusi ni SYMBOLISM tu ikiashiria mabadiliko yanayokuja nchini kama vile mtu anavyoachana na ukapela na kupata jiko!!
 
Back
Top Bottom