Ili ukazifanyie nini sasa, maana hatujasikia mkewe mwenye mume wake na ambaye yupo naye Nairobi akisema ni feki au wewe ni bi mdogo unataka haki ya kumuona mumeo na umenyimwa?
Unafiki wenu unawaponza sana.Kama hazikuwa ,,fake" tunaomba tuone nyingine, mbona hamturushii mpya?
Wenzio kina Janet wanateuliwa wewe upo tuKama hazikuwa ,,fake" tunaomba tuone nyingine, mbona hamturushii mpya?
Ni kwa nini usiangalie picha za nduguzo wanaokuhusu,kuliko kushadadia zisizokuhusu????Nyingine ziko wapi sasa Bosi wa Barrick keshaondoka?
mpya hii hapaKama hazikuwa ,,fake" tunaomba tuone nyingine, mbona hamturushii mpya?
Ni Juhudi za serikali ya ccm kupata thread kama hizi. [HASHTAG]#Commentkamapolepole[/HASHTAG]Kama hazikuwa ,,fake" tunaomba tuone nyingine, mbona hamturushii mpya?
Urushiwe ww kama nani?Kama hazikuwa ,,fake" tunaomba tuone nyingine, mbona hamturushii mpya?
Mwambie huyo maana anawashwawashwaHayo mambo ya kupiga piga picha kwa kila event anayaweza ndugu yako bashite
Kwa hiyo hadi ile clip ya kushukuru nayo unataka itumwe nyingine?
Wewe ni hater.
Hahahahahaha inawezekana Bi mdogoIli ukazifanyie nini sasa, maana hatujasikia mkewe mwenye mume wake na ambaye yupo naye Nairobi akisema ni feki au wewe ni bi mdogo unataka haki ya kumuona mumeo na umenyimwa?
Mwehu huyoKabla hujafa hujaumbika
Wafuate kwani Nairobi mbali ama huna nauli nikupatie?Nataka kuona ya Familia ya Tundu Lisu na ndugu yao na siyo chadema, za chadema zote ,,fake"!