Picha ,,Fake“ za Tundu Lisu!

Picha ,,Fake“ za Tundu Lisu!

Pale chuki kwenye politikii zinapohamishiwa kwenye afya na uhai wa mtu. Tukumbuke kuna maisha baada ya chama tawala na upinzani....


Huwo ushauri wape chadema ambao hawataki Tundu Lisu apumzike na kutwa kumtumia kwa manufaa yao binafsi!
 
Huwo ushauri wape chadema ambao hawataki Tundu Lisu apumzike na kutwa kumtumia kwa manufaa yao binafsi!
Chadema wanamtumia Lissu kqa manufaa yao binafsi.....tehe tehe tehe....
Ulitaka wamtumie kwa manufaa ya UVCCM?
Pambaneni na aibu yenu buana.

Hivi zile kemera zilizonyofolewa kwenye apartment alitokuwa anaishi Lissu mmezipeleka kwa mkemia mkuu kuzipima vinasaba vya uchochezi au?
 
Back
Top Bottom