Mnada wa Mhunze Senior Member Joined Mar 1, 2023 Posts 164 Reaction score 819 Jun 19, 2023 #1 "....yupo hapa na walikuwa na Pitso lakini baadae kuna mkataba ataenda kujaza wa kumnunua mchezaji hatari!" Duru.
"....yupo hapa na walikuwa na Pitso lakini baadae kuna mkataba ataenda kujaza wa kumnunua mchezaji hatari!" Duru.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,116 Reaction score 18,602 Jun 19, 2023 #2 Sawa Mmeshindwa kwa huyu?
Mnada wa Mhunze Senior Member Joined Mar 1, 2023 Posts 164 Reaction score 819 Jun 19, 2023 Thread starter #3 kawombe said: Sawa Mmeshindwa kwa huyu?View attachment 2662080 Click to expand... Jipigie makofi matatu kwa Yanga kushindwa kwa Nabiiiiii wakeeeee!
kawombe said: Sawa Mmeshindwa kwa huyu?View attachment 2662080 Click to expand... Jipigie makofi matatu kwa Yanga kushindwa kwa Nabiiiiii wakeeeee!
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Jun 19, 2023 #5 Hapa alipiga picha na mama yake Azizi Ki, kilichotokea ni kutuletea huyu mzururaji Aziz Ki
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,300 Reaction score 24,207 Jun 19, 2023 #6 Yaani wameshindwa kulipa faini ya $66000 ndio mnawaza kumsajili Pitso
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 18,368 Reaction score 34,665 Jun 19, 2023 #7 kawombe said: Sawa Mmeshindwa kwa huyu?View attachment 2662080 Click to expand... Hersi kumbe naye mtu wa chupli chupli tu
kawombe said: Sawa Mmeshindwa kwa huyu?View attachment 2662080 Click to expand... Hersi kumbe naye mtu wa chupli chupli tu
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 22,138 Reaction score 32,716 Jun 19, 2023 #8 Hiyo picha ya zamani.
Mnada wa Mhunze Senior Member Joined Mar 1, 2023 Posts 164 Reaction score 819 Jun 19, 2023 Thread starter #9 econonist said: Hiyo picha ya zamani. Click to expand... Lete yako ya sasa
Orlando_ JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 662 Reaction score 1,210 Jun 19, 2023 #10 econonist said: Hiyo picha ya zamani. Click to expand... Nikweli naikumbuka hii!!!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,064 Jun 20, 2023 #11 Huyu msomali anawapatia kweli gongowazi
H Hichilema JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 2,121 Reaction score 2,669 Jun 20, 2023 #12 Chivaviro na Pitso wote washapata timu. Labda kama alienda kumuuza Mayele
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,267 Reaction score 3,647 Jun 20, 2023 #13 sometimes naye ana ishu zake sio muda wote kujihusisha na timu
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 12,598 Reaction score 35,866 Jun 20, 2023 #14 Mbona mchezaji kama Upinde Upinde hivi
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,981 Reaction score 119,495 Jun 20, 2023 #15 Wabongo kazi mnayo. Hivi huu muda wa kumfuatilia mtu kila anapokwenda/kila anachofanya, mnautoa wapi!
Wabongo kazi mnayo. Hivi huu muda wa kumfuatilia mtu kila anapokwenda/kila anachofanya, mnautoa wapi!
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 5,948 Reaction score 22,277 Jun 20, 2023 #16 Mnada wa Mhunze said: View attachment 2662244"....yupo hapa na walikuwa na Pitso lakini baadae kuna mkataba ataenda kujaza wa kumnunua mchezaji hatari!" Duru. Click to expand... Mbona Eng. Kabadilika au kafanya surgery huko kusini maana huyu sio Eng ninaemjua na kichwa cha habari kimeanza na neno picha.
Mnada wa Mhunze said: View attachment 2662244"....yupo hapa na walikuwa na Pitso lakini baadae kuna mkataba ataenda kujaza wa kumnunua mchezaji hatari!" Duru. Click to expand... Mbona Eng. Kabadilika au kafanya surgery huko kusini maana huyu sio Eng ninaemjua na kichwa cha habari kimeanza na neno picha.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,064 Jun 20, 2023 #17 Tate Mkuu said: Wabongo kazi mnayo. Hivi huu muda wa kumfuatilia mtu kila anapokwenda/kila anachofanya, mnautoa wapi! Click to expand... Na wewe muda wa kujibizana nao unaupata wapi maana uko nao sambamba 24/7 hapa jukwaani.
Tate Mkuu said: Wabongo kazi mnayo. Hivi huu muda wa kumfuatilia mtu kila anapokwenda/kila anachofanya, mnautoa wapi! Click to expand... Na wewe muda wa kujibizana nao unaupata wapi maana uko nao sambamba 24/7 hapa jukwaani.
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,309 Reaction score 15,288 Jun 20, 2023 #18 rodrick alexander said: Yaani wameshindwa kulipa faini ya $66000 ndio mnawaza kumsajili Pitso Click to expand... Ajashindwa bali ni kiburi tu. Udhamini wa HAIER - Bilioni 2 Tsh CAF CONF CUP - Bilion 2 Tsh (runner up) Jumla BILIONI 4. Kumbuka $66,000 ni sawa na Milioni 130 Tsh.
rodrick alexander said: Yaani wameshindwa kulipa faini ya $66000 ndio mnawaza kumsajili Pitso Click to expand... Ajashindwa bali ni kiburi tu. Udhamini wa HAIER - Bilioni 2 Tsh CAF CONF CUP - Bilion 2 Tsh (runner up) Jumla BILIONI 4. Kumbuka $66,000 ni sawa na Milioni 130 Tsh.
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,309 Reaction score 15,288 Jun 20, 2023 #19 SAGAI GALGANO said: Huyu msomali anawapatia kweli gongowazi Click to expand... Yaani we acha tu! Anatupatia vilivyo. Hatukuwahi kubeba treble back 2 back, jamaa kafanikisha. Hakukuwahi kuwapo naa club East Afrika kushiriki CAFCC finals - jamaa kawezesha jambo.
SAGAI GALGANO said: Huyu msomali anawapatia kweli gongowazi Click to expand... Yaani we acha tu! Anatupatia vilivyo. Hatukuwahi kubeba treble back 2 back, jamaa kafanikisha. Hakukuwahi kuwapo naa club East Afrika kushiriki CAFCC finals - jamaa kawezesha jambo.
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,309 Reaction score 15,288 Jun 20, 2023 #20 Tate Mkuu said: Wabongo kazi mnayo. Hivi huu muda wa kumfuatilia mtu kila anapokwenda/kila anachofanya, mnautoa wapi! Click to expand... Halafu usikute anaishi kwa shemeji yake!
Tate Mkuu said: Wabongo kazi mnayo. Hivi huu muda wa kumfuatilia mtu kila anapokwenda/kila anachofanya, mnautoa wapi! Click to expand... Halafu usikute anaishi kwa shemeji yake!