Elections 2010 PICHA: Dr. Slaa aiteka Shinyanga

Tina

JF-Expert Member
Jul 9, 2007
572
579
slaa_shinyanga1.jpg

slaa_shinyanga2.jpg

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, aakiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na vitongoji vyake, katika mkutano wake wa kampeni
 
Viva Dr.............................................for president. Mungu awabariki wapenda maendelea kwa wote.
 
Inapendeza. CCM mwaka huu out. Tumechoka na wizi wenu, uongo wenu na kutojali kwenu
 
hakuna nguo za chama wala nini. jana nilikuwa napitia famialia yangu na ndugu zangu kuwakumbusha kumpigia slaa na nimeahidi kutotoa msaada kwa yule atakaekwenda kinyume. Je wewe umeishafanya sehemu yako?
 
Tunapozidi kuwa wengi ndiyo wanazidi kukata tamaaa ya kuiba. jamani tuingie kazini
 
Mamaaaa yangu...mbona sioni coaster zilizobeba watu haw a kuna kumsikiliza dr.slaa.....hahaaaa JK kazi unayo mwanakwetu
 
Wala usihangaike, tarehe 31st Okt, weka tick yako kwa Slaa, akamilishe kazi!
 
Kuna watu wanaweweseka. Hivi Timu ya familia ya JK watafanya kazi gani baada ya Sept 31? Na hizo kura za wizi zinatoka kwa mzinzi mwenzake wa SA? Hivi ni nani ataweza kumvaa balozi wa SA Dar na kumpiga maswali kuhusu huu umangi meza? Je balozi wa Tanzania aliye SA anahusika na hii scandal ya kuchapisha makaratasi ya kura?

Mlio SA hebu fuatilieni au Ka-inzi kafanye kazi yake.
 
Tina thanks for the photos!!
Yeah hili Nyomi linatia Moyo, please Baelezeeni baelewe!!!
 
Wow! Fatanstic. Sukumaland wandugu mwaka huu hatudanganyiki. Lazima CCM waangukie pua.
 
Kuna watu wanaweweseka. Hivi Timu ya familia ya JK watafanya kazi gani baada ya Sept 31? Na hizo kura za wizi zinatoka kwa mzinzi mwenzake wa SA? Hivi ni nani ataweza kumvaa balozi wa SA Dar na kumpiga maswali kuhusu huu umangi meza? Je balozi wa Tanzania aliye SA anahusika na hii scandal ya kuchapisha makaratasi ya kura?

Mlio SA hebu fuatilieni au Ka-inzi kafanye kazi yake.
Balozi wa Tanzania Afrika kusini ni "mwanafamilia" wa Kikwete.
 
thanks for the pics,nataka ratiba please nimeformat computer na website ya chadema sijui ipo likizo?
 
Kuna watu wanaweweseka. Hivi Timu ya familia ya JK watafanya kazi gani baada ya Sept 31? Na hizo kura za wizi zinatoka kwa mzinzi mwenzake wa SA? Hivi ni nani ataweza kumvaa balozi wa SA Dar na kumpiga maswali kuhusu huu umangi meza? Je balozi wa Tanzania aliye SA anahusika na hii scandal ya kuchapisha makaratasi ya kura?

Mlio SA hebu fuatilieni au Ka-inzi kafanye kazi yake.

Unamaana OCT 31? haya mkuu pamoja kwa hili
 
Wera wera....Ma men I dedicate ze photos to

JK

Malaria Sugu

Rashid Shamte

National Electoral Committee

REDET and

Synovate

VIVA DR. SLAA VIVA WATANZANIA na

Asalam Alekum (Peace be Upon You)
 
Yes this is it. Inapendeza na inatia moyo.

Kumekucha Wana-shinyanga Ng'wangaruka Bagosha na Bakima!!!!!!!!!!!!!!

Kama kweli Wasukuma wataitika namna hii siku ya kupiga kura na wakampa kura zao za NDIYO Mkombozi wa Tanzania yetu Mhe.Dr. Wilbroad Peter Slaa basi utakuwa ni ukombozi wa nchi nzima.

Kuna habari za kuaminika kwamba katika Chaguzi zilizopita CCM wamekuwa wanapata kura nyingi saana katika ukanda wa Ziwa ikiwemo Shinyanga. Hebu safari hii iwe kinyume chake!!

Ng'wabeja sana getegete!!!!

DR. WILBROAD PETER SLAA FOR PRESIDENT 2010-2015.
 
Back
Top Bottom