[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hatasuburi au atasubiri sana?? Basi ukute kwenye kiingereza uko vizuuuri...
Dah mkiongoz umetisha sanaaa hahahah.. Hivi ni kweli ile ndio nyumba anayojenga au wamemsingizia tu..Hizi nywele zimefanana na paa la nyumba yake
Mkuu kifutio ndio kikitumika sana kinakwisha.Cjui ruge alitumia
Kigezo gani kumuajir
Nakama hajapta nae
Cjui
Agiza balimi nakuja kulipaNemekuja kugundua wanawake wengi wa kiafrica hasa wale wenye maisha mazuri au waliokwenda shule wana IQ ndogo sana
Haswaaaa kabsa mkuuuMkuu kifutio ndio kikitumika sana kinakwisha.
Na kuna mambo kweli!Mjini kuna mambo, washamba ngoja tuangalie.
aibu sana,sakafu yenyewe kiwango cha vumbi,hawa ma`celeb wa dar pasua sana...Huyu diva anapendaga sana kujiweka kwenye level ambazo sio zake,sasa hiki nini? Au mnataka tu akina warumi tuongee, unajitutumua mwenyewe mwishowe utajamba bure kisa tu kujifananisha na kina vera sidika,bitch you have a long way to go,hiko kiingereza chako sio kigezo na wewe kujiona kuwa uko juu sana,stay on your lane,mxiweu![]()