warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Huyu diva anapendaga sana kujiweka kwenye level ambazo sio zake,sasa hiki nini? Au mnataka tu akina warumi tuongee, unajitutumua mwenyewe mwishowe utajamba bure kisa tu kujifananisha na kina vera sidika,bitch you have a long way to go,hiko kiingereza chako sio kigezo na wewe kujiona kuwa uko juu sana,stay on your lane,mxiweu