Ndoo maana mzk wao hauwezi kwenda mbele ni upuuzi mtupu.Wakuu.
Yaani siku hizi bungeni kila mtu anaenda. We sifia tu kesho, unalipiwa flight unaenda kikao.
View attachment 3315160
View attachment 3315161
View attachment 3315162
Bunge la yule nduli?Ndege wafananao, huruka pamoja. Hakuna cha ajabu hapo. Bunge lenyewe limejaa watu wa aina hiyo hiyo.