Picha: CHADEMA Yazidi Kujiimarisha Mitaani

Picha: CHADEMA Yazidi Kujiimarisha Mitaani

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,183
chama kinachopendwa na kila Mtanzania mwenye uchungu na nchi yake, Chama Cha Demokrasina na Maendeleo, CHADEMA, leo kimefanya tukio la kufungua Msingi katika Mtaa wa The Place uliopo katika kata ya Kimanga, Jijini Dar Es Salaam, katika shughuli ambayo iliendeshwa kwa ufanisi mkubwa na Mwenyekiti wa Chama Mtaa, Bwana Msafiri, na Makamanda wengine watiifu kwa Chama.


p1.jpg
p2.jpg
p3.jpg
p4.jpg
p5.jpg
p6.jpg
p7.jpg p8.jpg
p9.jpg p10.jpg
p11.jpg p12.jpg
 
Hii inatupa moyo sisi watiifubkwa taifabjili ambao tusingependa kuona kuzazi chetu kinakuja kulaumiwa
 
Inabidi serikali ifungue hospitali za vichaa kila mkoa, hivi viroba ni hatari sana kwa ubongo
 
Inabidi serikali ifungue hospitali za vichaa kila mkoa, hivi viroba ni hatari sana kwa ubongo

Ifungue hospital hizi hadi nje ya nchi hasa kuwapa ushauri wale wanaoishi kwa dada zao na waliokula pesa za rambirambi
 
CDM ni mwiba mkali sana kwa CCM! Kila mbinu zinatumika ili kuisambaratisha CDM kama Ukanda, ukabila, Udini, Ugaidi, Ufisadi, mabomu na B7 Lumumba Project! Tayari mbinu hizi zimeshagota na zimeshindikana vibaya sana, kwani CDM ndio kwanza inashamiri!! Sasa wanapiga mayowe ya kutaka Demokrasia ndani ya CDM. Mbinu hii nayo itashindikana pia!!
 
Asante. Nimependa ubunifu wa jiwe la msingi la bendera. Nashauri yote yajengwe ivo kujitofautisha.
 
Back
Top Bottom