kama mnadai ukombozi wa kweli huku mnanyenyekea na kufurahi kuona ngozi nyeupe mikutanoni bado mnasafari ndefu ..... Hawa si ndio wafadhili kutoka chama cha kanisa ujerumani cdu .....
kama mnadai ukombozi wa kweli huku mnanyenyekea na kufurahi kuona ngozi nyeupe mikutanoni bado mnasafari ndefu ..... HAWA SI NDIO WAFADHILI KUTOKA CHAMA CHA KANISA UJERUMANI CDU .....
Wazungu wawili nanusu kutoka CDU ndio ulimwengu!! kila mmoja anawajua CDU na Chadema pamoja na agenda zao kwa pamoja,, hakuna jipya hapo.
wazungu wawili nanusu kutoka cdu ndio ulimwengu!! Kila mmoja anawajua cdu na chadema pamoja na agenda zao kwa pamoja,, hakuna jipya hapo.
Chama cha watu wa kaskazini mimi wa kusini kinanihusu nini??
well said.Watu hawashabikii vyama vya siasa, wanachotaka watu mabadiliko yenye kuleta maendeleo. Wanaoichangamkia Chadema si wafuasi wa Chadema bali wapenda mageuzi.