Picha: CHADEMA M4C Mtwara

Nakumbuka siku ileee. Palinoga ile mbayaaa. Inanikumbusha katika Quran Tukufu na Hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) jinsi alivyofanza safari za kuwalingania ummat wake, kivumbi kilikuwa kila akipita huko nyuma anaacha moto, maswahaba wanaongezeka mpaka maqafiri wa Kikoreishi wakatangaza kwamba Muhammad ni "MCHOCHEZI NA MFITINI" wakataka kumuua. Ndipo ALLAH (S.W) akashusha Aya.... Hakuna ukombozi lelemama
 

Kweli Mtwara wamebaki kama sehemu aliyopita Mtume wa ALLAH....yaani haki will come tu hata iweje!
 
huo haukuwa mkutano bali lilikuwa darasa
watu walielimishwa wakaelewa
kila la heri chadema
 

Utakamatwa na mr dhaifu
 
chadema
ni chama makini hapa tanzania....chadema ni chama cha watanzania
 
Tuna cheka tu nakusifia m4c nakuleta ushahidi humu,wenzenu now wako chini unajipanga kuja na mbinu chafu zidi ya cdm,tuweni makini sana na hizi picha na hata video zilizokwishatumika kuelimisha wananch wa mtwara zinaweza geuzwa ushahidi na hawa wanaosafiri kwa siku 10 kimya kimya,kumbukeni china ni vinara wakugushi mambo,wanaigiza sauti kama steve nyerere..
 
masanduku ya kura ndio yakayoamua sio umati wa watu!
 
duu hii ni balala inabidi warudi tena baada ya balaa hili la gesi! hivi mikutano ilisharuhusiwa!
 
masanduku ya kura ndio yakayoamua sio umati wa watu!

Hahaa haa kwenye suala la uchaguzi hatuwawezi mpaka siku ikipatikana katiba mpya na ikazaa tume huru ya Uchaguzi, maana mmejipanga sana kwa kuwatumia watu kama jaji lewis makame Jack Zoka na viongozi wengine waandamizi wa Usalama wa Taifa, lakini jamii inabadirika taaratibu tutafika tu hivi unafahamu kwamba Arumeru vilistukiwa vituo feki vya kupigia kura zaidi ya 25? hii ni picha tu inayo reflect uchaguzi mkuu unavyokuwa, mimi naamini hakuna mtu mwenye akili timamu anayeipigia kura tena CCM, ushindi huwa wanaupata kwenye vituo feki.
 
Sifungamani na upande wa chama chochote cha kisiasa katika taifa hili ila nitakuwa msema kwweli daima kukubaliana na haki ikitendeka siungu mkono mafisadi siungi mkono siasa za maji taka... nachukia waongo na wanafiki... wanaowasahau watanzania na kujaza matumbo yao pasipo kikomo.... mungu tusaidie
 
....magamba na waseme sasa,hii kitu inampa kizunguzungu membe,maana anajua huko ndo ngome yake kumbe watu wamesha chana nyavu...
 

Watu wanafunguka....




Sehemu ya umati ya watu waliojitokeza kuwasikiliza makamanda wa M4C



Viongozi wa CHADEMA wakiingia uwanjani...


Tundu Lisu,



Dr. Slaa akihutubia


Mbowe akihutubia

CDM Motooooo!

Tunaomba kuanzia sasa AGENDA ya CDM iwe moja tu! 'Kuhakikisha kundi hili na mengineyo yanajua umuhimu wa kujiandikisha kupiga KURA wakati wowote ujao, wanawahimiza na wenzao wote kuwa NCHI IMESHAFIKIA KUKOMBOLEWA'...MTAJI UPO, NGUVU IPO na kilichobaki ni MABADILIKO na UTHABITI. It is now or never...This is a right time!
 
Hizi picha ni kipindi kile cha campein watu walikuwa hawajawajua Kama maberi walidandia basi wasilolijua nendeni hivi sasa slaa alikimbia 2010 watu Wengi walifuata mkumbo
 
ukubwa wa pua si wingi wa makamasi.vijana wanakua wengi kuwaona watu maarufu hasa yule jokeboxer na DJ wa muziki pale clubbilikanasa.mwisho wasiku wapigia CCM.kidumu cha chamapinduzi......kidumu chama tawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…