PICHA: CCM Yazungumza na WANANCHI wa TEMEKE

PICHA: CCM Yazungumza na WANANCHI wa TEMEKE

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
Saturday, February 16, 2013



Nape:BUNGE KURUSHWA LIVE KUTAIMALIZA CHADEMA..
*Asema wananchi wanakerwa na fujo zao bungeni.
*Adai zitapunguza idadi ya wabunge wao bungeni.
*Zitashusha hadhi yao kwa umma.
*Asema walitumwa kutetea wananchi, si kufanya fujo.

35.jpg

Juliana Shonza akihutubia wakazi wa Temeke juu ya maamuzi yake thabiti ya kujiunga na CCM
40.jpg

Mtela Mwampamba akiwaeleza wananchi wa Temeke mapungufu makubwa ya kidemokrasia yaliyopo kwenye vyama vya upinzani na hivyo kumfanya yeye binafsi kuchukua uamuzi wa kujiunga na CCM.
47.jpg

Saumu Kisena akionyesha kitambulisho chake , Saumu amejiunga rasmi CCM baada ya kugundua chama alichokuwepo kinahubiri haki nje wakati ndani hamna haki kabisa.
63.jpg

Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi, akihutubia wananchi wa Wilaya ya Temeke na kuwahakikishia kuwa CCM itaisimamia serikali itekeleze ilani yake ya Uchaguzi kwa asilimia 100.
50.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Temeke ,Ndugu Sophia Mjema akiwapungia wananchi wa Temeke wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile ,Temeke ,Mwisho.
kwa picha zaidi bofya read more

77.jpg

Wananchi na Wapenzi wa CCM kutoka kata ya Kilakala,Yombo kama walivyojitambulisha ,walisema Nape ameongea mambo mengi ya msingi na kumtakia heri aendelee kufanya kazi nzuri.
15.jpg

Wasanii wa kikundi cha TMK wakitoa burudani kwenye uwanja wa nyumbani wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile, Temeke,tarehe 16/2/2013.
61.jpg

Baadhi ya wananchi wakionekana kuelewa vizuri maneno ya viongozi wao.
4.jpg

Kikundi cha Hamasa cha CCM,Temeke kikihamasisha kwa aina yake wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile, Temeke.
 
Yaaani magamba muda wote vichekesho Tupu. Nashindwa uanzie kuwajadili wapi? bcoz ukiwajadili kila point ni kichekesho, Ngoja ni point out point moja tu mucheke Eti Nape ameongea mambo mengi ya msingi na kumtakia heri aendelee kufanya kazi nzuri. Nape aongee mambo ya msingi kuanzia lini? LABDA aliongea mambo ya shule ya Msingi hapo nitawaelewa, Akayaacha ya Secondary. Nape= f(a)
where by a= 0
 
Mbona watu kiduchu pamoja na burudani zote hizo!!!
 
Duuuuuh kweli CDM ilifanya kazi peupe hivyo
 
Huu mkutano si wangeuita mkutano wa wanachama wa CCM. Naona kila mtu amevaa njano
 
Huu mkutano si wangeuita mkutano wa wanachama wa CCM. Naona kila mtu amevaa njano
Mkuu inabidi CCM iwahutubie hao hao makada wake maana hakuna watu wengine zaidi, lengo ni kuzuia ili wasije nao wakatimka,

Kifupi ni kwamba wananchi wakawaida karibu wote wako CHADEMA kwa sasa.
 
Mbona watu kiduchu pamoja na burudani zote hizo!!!

Uwepo CCM ulipunguza idadi ya watu waliopenda kuhudhuria burudani ya TMK. Hao wachache ni wapenzi wa TMK ambao walikuwa na uvumulivu wa kuwepo CCM.
 
hawa ndio wananchi
sio nyinyiem imekusnya wakina mama kutoka kona zote za dar kwa mafuso
kisha mnasema wananchi

attachment.php
 

Attachments

  • Photo Jan 3, 2013 4-49 PM.jpg
    Photo Jan 3, 2013 4-49 PM.jpg
    50.7 KB · Views: 897
"Saumu Kisena akionyesha kitambulisho chake , Saumu amejiunga rasmi CCM baada ya kugundua chama alichokuwepo kinahubiri haki nje wakati ndani hamna haki kabisa".

Ninachokifahamu mimi CCM inahubiri haki Ndani wakati nje hakuna haki
 
huyu mkuu wa wilaya huyu, ananikumbusha kuleeeee watu wabayaaaaaaaaaaaa
 
huyu mkuu wa wilaya huyu, ananikumbusha kuleeeee watu wabayaaaaaaaaaaaa

Huyo DC itakuwa ni chakula cha wazee na huyo Juliana nae anaota U Dc!!!

Halafu wananchi ni wachache sana kulinganisha na mkutano wa CDM uliofanyika hapo.
 
Huyo DC itakuwa ni chakula cha wazee na huyo Juliana nae anaota U Dc!!!

Halafu wananchi ni wachache sana kulinganisha na mkutano wa CDM uliofanyika hapo.
watu wabayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:whistle:
 
nchi imeingia kene vita vya kidini,,hawasemi lolote wanawaza ufisadi na madaraka,,,,hawa watu hawafai kama ni wapinzani wa kweli wangengeenda hata NcCr mageuzi lakini ccmwanawaza madaraka na ufisadi,,,ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Janga la Taifa letu jamani ni hawa majambazi a.k.a ccm ila mwisho wao waja hakika!
 
mavi ya kuku...dhaifu sijaona kitu hapo...pyuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom