Kamanda Godbless Lema (kushoto), mmoja wa wanachama baada ya kukabidhi T-Shirt na kadi yaa CCM na kuchukua kadi za chadema ikumbukwe T-shirt na kadi ilipewa na Kikwete miaka michache iliyopita na kulia ni kamanda Chris Lukosi akionyeshe kati ya kadi zilizorudishwa.
Amependeza sana na hii T-Shirt. Good boy!!
walisema lema kazomewa, mara amevalishwa nguo ya CCM kama kumkebehi wakati lema aliipokea kutoka kwa mwanachama mmoja aliyeirudisha.
Kikwete aliwakabidhi kadi kwa bwebwe kweli halafu lema kaenda kuwavua hahahahaha na bado asubili mwezi wa tisa wataumbuka zaidi ni kwenye mkutano mkubwa utafanyika wa kuwachagua viongozi wa tawi.Kwa hakika sasa watu wamebadilika na hakuna uoga tena katika kufanya maamuzi maana zamani hapo utasikia mtu karudishwa home kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu.
Demokrasia imeanza kukua na watu wanatambua haki zao,hongera Lema kwa kuzidi kujitoa kwa chama na taifa lako kwa ujumla.
Kikwete aliwakabidhi kadi kwa bwebwe kweli halafu lema kaenda kuwavua hahahahaha na bado asubili mwezi wa tisa wataumbuka zaidi ni kwenye mkutano mkubwa utafanyika wa kuwachagua viongozi wa tawi.