Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,629
usijali sana...bado unawezaukakutana na marafiki wa JF, si lazima iwe party...popote ulipo mnaweza kutana wawili watatu!!...na kama upo hapa Dar nitakushangaa kweli kuwa hujawahi kutana na rafiki yoyote wa JF
umeona eh? 2mekoswa na meng kweli.