Picha bora ya UCHAGUZI 2015

Mtu akishasilimishwa yale makandokando yote yanamtoka anakua kiumbe safi wa mwenyezi-Mungu na muda wote anaongea KWELI tupu yale mauongouongo anayatupa kule.

Ndio kilichomtokea Muheshimiwa Rais wa Jamuhuri Muheshimiwa Edward Lowassa.

QUOTE "Nashanga wanaochoma moto vibaka na kumwacha LOWASSA Akikamua mitaani" - Mbowe END QUOTE

Na mbowe nae utasema kaacha makando kando wapi wakati maneno hayo aliyasema akiwa huko mnakoita kwa mungu??
 

ukisema vingyonga utakuwa unawasifia.
Hao ni nyumbu, nyumbu kama wanavuka mto akianza mmoja kurukia mton pale aliporukia wote wanarukia hapohapo hata wamuone mamba lakn wao wanaruka tu
 
liwalo na liwe heri huyu fisad mmoja maabmna ccm hadi balozi wa nyumba kumi ni fisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…