Picha bora ya kufungulia mwaka kutoka kwa Rais Samia na Mkuu wa Majeshi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,348
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.

Picha iliyoonyesha utii , unyenyekevu na Heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Picha ambayo imekuwa picha Bora ya kufungulia Mwaka huu wa 2026.

Kwa Hakika inaleta raha sana kuona namna Rais wetu alivyo Makini ,mkakamavu na Shupavu na mwenye umakini wa hali ya juu sana. Tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu na kutembea vifua mbele kwa kuwa na uhakika wa kuvushwa katika kila bonde na mlima.

Rais Samia kwa hakika ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Hakuna Mwanadamu awezaye kumshusha wala kumchafua ama kumpaka matope.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260106-213224_1.jpg
 
mwaka ulianza tarehe 30 kwenda tarehe 1 mwezi 1 mwaka 2026.Au hii ya kwako
20260105_195702.jpg
 
Wanasema ni AL!!

Wanataka atembee na kuongea live kama Mzee kikwete anaezindua miradi kama Rais wa nchi in charge!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.

Picha iliyoonyesha utii , unyenyekevu na Heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Picha ambayo imekuwa picha Bora ya kufungulia Mwaka huu wa 2026.

Kwa Hakika inaleta raha sana kuona namna Rais wetu alivyo Makini ,mkakamavu na Shupavu na mwenye umakini wa hali ya juu sana. Tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu na kutembea vifua mbele kwa kuwa na uhakika wa kuvushwa katika kila bonde na mlima.

Rais Samia kwa hakika ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Hakuna Mwanadamu awezaye kumshusha wala kumchafua ama kumpaka matope.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wapi?
 
Wewe chawa, hiyo picha ya huyo Izraeli wako mtoa roho za watu iko wapi sasa!

Hivi wewe ni Pomole, au Pang'ang'a!!!
 
Back
Top Bottom