Kuna watu haitajiki nguvu nyingi kujua mambo mazuri waliyoyafanya,mtu kama Mengi hata kama watu wakikaa kimya na kutomsifia basi mawe yatapiga kelele na kumsifia,Mengi amefanya mengi sana ambayo yamegusa watu wa chini na wenye vipato vya kawaida hasa walemavu,mioyoni mwao wanajiuliza nani atawasaidia?
Nani atakubali kuwaandalia zile events alizokuwa akiwaandalia mzee Mengi kila mwaka ,huku akiongea nao,kuburudika nao,kula nao,kuwafariji na kuwapa nguvu,bila kusahau kuwasaidia mitaji ya kibiashara,ndio maswali jamaa anayeligusa hilo gari anayojiuliza moyoni RIP Mengi.