Picha BORA kabisa ya Mwaka

Huyu jamaa Ana wito mgumu sana juu ya nchi yake.

Lissu ni raia mzalendo namba moja wa nchi hii
 
 
Inavyoelekea hakutakuwa na reform,...


Kuna Mijitu ina unasaba na mbowe ishaingia Chaumma.

Hii mijitu ninavyoiona, piga ua galagaza inaonekana Wazi wazi itaingia kwenye Uchaguzi..Mungu saidia.!

Sasa Mkisusa ni sawa, Lkn inakuwa ni nyie tu ndo mmesusa.!

Sa itakuwaje, hatwendi kwenye Uchaguzi kweli.?
 
Du hiyo mijitu iliyomzunguka ipo kama mijambazi inatisha
 
Naona sasa kuingia mtandao wa X lazima utumie VPN kama mtandao wa Telegram
 
Sasa mbona hao manjagu wamenzigira hivyo. Wanadhani atawatoroka?
 
Tatizo picha imepigwa mahakamani kwahiyo yupo mguu nje mguu ndani.

Picha hii angekuwa yupo nje ingekuwa picha Bora Zaidi barani Africa au ya pili baada ya Trump.

Kinyago nikochonge mwenyewe alafu kinitishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…