Picha: Bombardier ya Kwanza Nchini Uganda 'Uganda Airlines'

Vp hiyo ni ya wananchi au ya shirika la ndege.Itakua inapark kama zile mbawa za mlima kili au itapasua anga?.
 
Ugandan airlines iliyokuwa imekufa, sasa inafufuliwa upya baada ya kuagizwa kwa ndege mpya 6 za shirika hilo, ya kwanza iko tayari, ni Bombardier CRJ -900.
 
Kama ilivyo kwenye army racing sasa tumehamia kwny mashindano ya Ndege.
 
Back
Top Bottom