Unakuta machinga wanapanga hivo mbele ya duka lako na wewe unauza vyombo hivo hivo ,,,,wewe kodi kibao yeye hamna chochote na anauza bei rahisi tofaut na wewe huko dukani, ,kwa siku mwenzio anauza zaid yako mwenye fremu na huoni aibu kujiita Machinga,,
Mazingira ya kufanya biashara Tanzania sio kabisa