Haya ni majengo ya miaka ya 1800..Sasa mkuu hiyo miaka sisi tulikuwa wapi? Nami angejenga...mfano wa majengo hayo ni Ikulu yetu ambayo alijenge nadhani Mjerumani...

Kuna kitu kinashindikana Mkuu! Ukitaka kujenga Kasri kama hilo mwambie architect wako tu.
Nimeona (Marekani) baadhi ya majengo yanajengwa leo, lakini muonekano ni wa 1800.
Ni wewe na pesa yako!