LEo ni majanga kila kona. Nilikuwa na kikao na DC bagamoyo. Nimefika mapinga daraja ukingo umekatika. Nimerudi nipite Tamco kibaha nakuta foleni kali Kibamba, naambiwa daraja la Kabila ya Mizani Kibaha nalo limekatika.eeeeheh.hayo yote ukandarasi wa KI CCM.
Mburahati na Mayfair leo asubuhi
Saturday, April 12, 2014
Kariakoo Jijini Dar hali ya mvua ipo hivi... ni hatari tupu
Foleni nayo usiombeeeeeeeeeeee....
Sehemu ya maduka yaliyopo eneo la Kituo cha daladala cha ITV yakiwa yamezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Kutokana na mvua hizo na maji kujaa kumesababisha msongamano mkubwa wa mago kuanzia jana jioni na leo.
Barabara ya kuelekea Goba....
Barabara ya Goba ikiwa imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
Maji yakitiririka kwa kasi katika Mto Mbezi eneo la Bondeni...
Vijana wakitumia fursa vizuri kwa kujipatia mchanga unaotiririshwa na maji ambapo huwauzia madereva wa maroli.
Eneo la Mwenge karibu na kituo cha daladala.....
Moja ya daladala lililokuwa gereji likiwa limezingirwa na maji eneo la Mwenge....
Maduka ya Mwenge yakiwa yamezingrwa na maji.....
Mdada huyu alikuwa akipiga hesabu na kujiuliza jinsi ya kuvuka maji yaliyojaa na kukatiza barabara eneo la ITV.
Mwenge karibu na Zahanati...... hakuna njia ya kuingilia Zahanati
Maduka eneo la Mwenge yamejaa maji....
Kazi haifanyiki leo katika maduka haya...
Mwenge eneo la Nakiete......
Maji yakikatiza barabara eneo la ITV.
source; MasaiNyotambofu
Mwulize Mbowe ruzuku kapeleka wapi, watu wanavua magwanda!kinachosikitisha makosa haya yaliyofanyika jangwani yanaendelea kufanyika mbezi, kimara na ubungo wananchi kujenga kwenye mikondo ya mito like there is no city planner
hii mbaya sana
ni madhara ya kuendelea kuweka CCM madarakani
how magwanda related to this sir how uropokaji ndio asili yakoMwulize Mbowe ruzuku kapeleka wapi, watu wanavua magwanda!
Nilikuwa najibu swali lako la awali kwa city planners, wewe unahamia bondeni halafu unategemea nini?how magwanda related to this sir how uropokaji ndio asili yako
kinachosikitisha makosa haya yaliyofanyika jangwani yanaendelea kufanyika mbezi, kimara na ubungo wananchi kujenga kwenye mikondo ya mito like there is no city planner
hii mbaya sana
ni madhara ya kuendelea kuweka CCM madarakani
\Nilikuwa najibu swali lako la awali kwa city planners, wewe unahamia bondeni halafu unategemea nini?
Wakati huo huo hata hao magwanda wanawafikia wapiga kura wao kwa helikopta, ndio maana wamefilisika sasa, na watu wanavua magwanda kwa kuona hayana msaada.
Halafu kuna watu wanasifia kuwa Dar kuna skyline nzuri. Wakiambiwa mambo ya muhimu ni kuboresha sehemu wananchi wanapoishi, wanang'aka!!