PICHA: askari FFU akimpigia Salute Lowassa Kigoma

PICHA: askari FFU akimpigia Salute Lowassa Kigoma

Mbona wakati wanauaga mwili wa marehemu Kanumba kuna askari wa cheo kikubwa tu aliupigia saluti!
 
Huyo askari si FFU .....lakini cha msingi Lowasa alikuwa Waziri mkuu hivyo haki zake ziko pale pale ....
 
Yule bado ni wazir mkuu mstaafu sasa kwann asipigiwe salute?
Halfu mijitu mingne ikiona nguo ya kijani tu tayar linajua ni ffu huyo ni FFU wa mama yako? Huyo ni askra wa kawaida
 
Back
Top Bottom