Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,012
- 25,353
- Thread starter
- #21
Wazungu wamependelewa akili..
....Kweli Mkuu na sisi tumependelewa ujangili !!!
Wazungu wamependelewa akili..
....Kweli Mkuu chui kitu ingine kabisaa panachezeya !!
Pia kuna tabia ya wanyama wakion kama wew sio threat kwao wanatabia ya kutokuwa na shida nawewe, inawezekana hao wazungu huenda sana maeneo hayo
...Preta njoo huku !!!
Kwanza hapo si Arusha. Hayo maeneo ni Serengeti npk. Picha ya kwanza ni chui lkn picha ya pili na tatu zote ni za cheetah. Cheetah mara nyingi ni mnyama ambaye hapendi ugomvi na anatabia ya kuamini watu au kitu. Yuko tayari kupanda juu ya gari ili tu apate muono mzuri (good views) hasa anapotaka kuwinda- hii huitwa kitaalam prey selection.cheetah ndie mnyama mwenye kasi kuliko wote duniani,anao uwezo hata wa kuanza kufukuza mnyama kuanzia umbali wa mita mia,anapendelea sehem zenye uwazi(plain area) na hii inatokana na tabia yake ya kukimbia umbali mrefu awapo mawindoni, chakula chake ni jamii ya swala waitwao(gazelles) au swala paa(impala) anayo michilizi mweusi kuzunguka macho yake hii humsaidia sana kukinga miale ya jua kwani tabia yake ni muwindaji wa mchana au kimombo(diurnal) ni jamii ya paka lakini ni mpole sana na ni rahisi kuanzisha urafiki na binadam kama hatabugudhiwa.View attachment 223412
Ili iweje?
Kudadadeki, mkuu nimeupenda uchambuzi wako, nimesoma hadi mwisho nikatamani maelezo yawe yanaendelea. Very clear and comprehensive information.
Asante kwa maelezo ya kitaalamu sana. You sound like a game warden or tour guide.Kwanza hapo si Arusha. Hayo maeneo ni Serengeti npk. Picha ya kwanza ni chui lkn picha ya pili na tatu zote ni za cheetah. Cheetah mara nyingi ni mnyama ambaye hapendi ugomvi na anatabia ya kuamini watu au kitu. Yuko tayari kupanda juu ya gari ili tu apate muono mzuri (good views) hasa anapotaka kuwinda- hii huitwa kitaalam prey selection.cheetah ndie mnyama mwenye kasi kuliko wote duniani,anao uwezo hata wa kuanza kufukuza mnyama kuanzia umbali wa mita mia,anapendelea sehem zenye uwazi(plain area) na hii inatokana na tabia yake ya kukimbia umbali mrefu awapo mawindoni, chakula chake ni jamii ya swala waitwao(gazelles) au swala paa(impala) anayo michilizi mweusi kuzunguka macho yake hii humsaidia sana kukinga miale ya jua kwani tabia yake ni muwindaji wa mchana au kimombo(diurnal) ni jamii ya paka lakini ni mpole sana na ni rahisi kuanzisha urafiki na binadam kama hatabugudhiwa.View attachment 223412
Mdakuzi sasa kama mambo yenyewe ndio kama haya....mnhhh naweza kuzimia kwa hofu!
....
.....hatari unaweza kufikiri ni--wa kwenye zoo kumbe kitu pori !!!