Anaandika Twaha Mwaipaya...
"Anaitwa deo kamanda alikuwa Hamasa wa chama, anaishi Mbezi kibanda Cha mkaaa. mtandaoni anatumia jina la "Dmg mfia chama" ameuwawa na majangiri ya ccm, ameacha mke wake mwenye unaudited wa miezi 8 na tunajipanga Make wake asafirishwe aende kusubiri kujifungua nyumbani kwao mkoani kigoma.
Alipigwa risasi ya mbavu tarehe 29 ikampalaza akapona akapelekwa hospital ya bochi akatoka wakamfuata kwao kibanda Cha mkaaa . Kwa vile uvccm walikuwa wanapajua anapoishi usiku wa siku ya kwanza walipomkosa, kesho yake jioni akaitwa bondeni na jamaa yake alivyotokezea tu akapigwa risasi.watu walishuhudia Tukio like, ambapo wauaji walibeba mwili wake na kuuweka kwenye gari nyeupe ambayo ilikuwa haina plate namba.mpaka leo mwili wake haujapatikana"!!.