PostGE2025 Picha: Alipigwa risasi akapona, akatafutwa na kumalizwa kinyama

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Anaandika Twaha Mwaipaya...

"Anaitwa deo kamanda alikuwa Hamasa wa chama, anaishi Mbezi kibanda Cha mkaaa. mtandaoni anatumia jina la "Dmg mfia chama" ameuwawa na majangiri ya ccm, ameacha mke wake mwenye unaudited wa miezi 8 na tunajipanga Make wake asafirishwe aende kusubiri kujifungua nyumbani kwao mkoani kigoma.

Alipigwa risasi ya mbavu tarehe 29 ikampalaza akapona akapelekwa hospital ya bochi akatoka wakamfuata kwao kibanda Cha mkaaa . Kwa vile uvccm walikuwa wanapajua anapoishi usiku wa siku ya kwanza walipomkosa, kesho yake jioni akaitwa bondeni na jamaa yake alivyotokezea tu akapigwa risasi.watu walishuhudia Tukio like, ambapo wauaji walibeba mwili wake na kuuweka kwenye gari nyeupe ambayo ilikuwa haina plate namba.mpaka leo mwili wake haujapatikana"!!.
1762778455294.jpeg

1762778575049.jpeg
 
Mwisho wao umefika. Watalipia hapa duniani na jehanamu pia
 
Tarehe 9/12/2025 tunarudi barabarani tukiwa na nguvu na ari mpya na nia ya kurudi na uwezo upoooo.
 
Anaandika Twaha Mwaipaya...

"Anaitwa deo kamanda alikuwa Hamasa wa chama, anaishi Mbezi kibanda Cha mkaaa. mtandaoni anatumia jina la "Dmg mfia chama" ameuwawa na majangiri ya ccm, ameacha mke wake mwenye unaudited wa miezi 8 na tunajipanga Make wake asafirishwe aende kusubiri kujifungua nyumbani kwao mkoani kigoma.

Alipigwa risasi ya mbavu tarehe 29 ikampalaza akapona akapelekwa hospital ya bochi akatoka wakamfuata kwao kibanda Cha mkaaa . Kwa vile uvccm walikuwa wanapajua anapoishi usiku wa siku ya kwanza walipomkosa, kesho yake jioni akaitwa bondeni na jamaa yake alivyotokezea tu akapigwa risasi.watu walishuhudia Tukio like, ambapo wauaji walibeba mwili wake na kuuweka kwenye gari nyeupe ambayo ilikuwa haina plate namba.mpaka leo mwili wake haujapatikana"!!.
Kuna dogo alibaraswa mbavuni ni jamaa mcharanga nguruwe/ kitimoto Kuna sehemu Huwa naendaga kula mdudu mara moja moja..

Ilikua ivi jamaa wali fyatuliwa bomu la machozii lilipo lipuka kika mpata maeneo ya mbavuni kukawa Kuna kidonda kibichi sikioni na mbavuni na anapata maumivu makali

Kwanza dogo hakuandamana alikua buchani anapo uzia kitimoto na kuzipika..dogo ana dredi pia kwa niliyo muasesi atakua anakula mmea dogo kajitibia kienyeji akienda polisi hatokiii..maana muonekano wake ni wakisela sela..
 
Vitendo vya mauaji,utekaji, kupotezwa, kufungwa jela

Haya mambo yatazidi Kwa Kasi awamu hii ili kulinda mamlaka na kuogopesha Wadai haki
 
Galafu nwenyewe yuko busy anateua tu as if nothing has happened.
Na Kila mtu anatoa pole Kwa watu waliofiwa na ndugu zao lakini yeye ni kama hajui kinachoendelea

Raisi ni taasisi anayekupenda na asiyekupenda wote ni wananchi wako Mungu mwenyewe kuna wanao mpinga na kumtukana ila wote anawapa riziki na ndio maana sio Kila mtu anaweza kua kiongozi uongozi ni mzigo mkubwa sana

Angetokeza atoe hata pole ya unafiki na atudanganye kua waliohusika atawashughulikia japo sio kweli lakini ingeleta maana kubwa sana Kwa chama chake inafika kipindi mpaka wanao mtetea wanachoma maana yanayofanyika hata mtoto mdogo anaelewa kiuwepesi
 
Anaandika Twaha Mwaipaya...

"Anaitwa deo kamanda alikuwa Hamasa wa chama, anaishi Mbezi kibanda Cha mkaaa. mtandaoni anatumia jina la "Dmg mfia chama" ameuwawa na majangiri ya ccm, ameacha mke wake mwenye unaudited wa miezi 8 na tunajipanga Make wake asafirishwe aende kusubiri kujifungua nyumbani kwao mkoani kigoma.

Alipigwa risasi ya mbavu tarehe 29 ikampalaza akapona akapelekwa hospital ya bochi akatoka wakamfuata kwao kibanda Cha mkaaa . Kwa vile uvccm walikuwa wanapajua anapoishi usiku wa siku ya kwanza walipomkosa, kesho yake jioni akaitwa bondeni na jamaa yake alivyotokezea tu akapigwa risasi.watu walishuhudia Tukio like, ambapo wauaji walibeba mwili wake na kuuweka kwenye gari nyeupe ambayo ilikuwa haina plate namba.mpaka leo mwili wake haujapatikana"!!.
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan kwa yote haya anayolitendea taifa lake la amani.
 
Sasa kile chombo kilichopewa mamlaka ya kikatiba kutulinda sisi raia na mali zetu kimegeuka kuwa ndio cha kutuua tufanyeje watanzania?
 
Back
Top Bottom