Watu Mbali mbali wakisaidia shughuri za uokoaji katika eneo hilo Umati Mkubwa wa watu uliofika Eneo la Ajali kushuhudia pamoja na kusaidia kazi ya uokoaji Baadhi ya watu wakiwa wameitanda Coaster hiyo kwa ajili ya kusaidia uokoaji
Baadhi ya ya maiti kama zinavyo onekana zikiwa chini wakati wanangojea shughuri nzima ya uokoaji
Gari Kubwa la Mizigo ambalo nalo Lilipinduka Mara baada ya ajali kutokea Watu walio Fika katika hospitali ya Rufaa kutazama miili ya Marehemu Miili ya Marehemu ikiwa tayari imewasili katika Hospitali ya Rufaa Mbeya Polisi na watu mbali mbali pamoja na wauguzi wakiwa wamefika kusaidia kazi ya kushusha maiti hizo Wafanyakazi wakiwa wanakimbiza majeruhi kupata huduma ya kwanza pamoja na Kupeleka Marehemu katika chumba cha Kuhifadhia Maiti. Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog wa kwanza kushoto aliye valia shati Jeupe Joseph Mwaisango akiwa anatoka eneo la Tukio mara baada ya kumaliza kazi yake
Tukio zima Limefuatiliwa kwa ukaribu na Joseph Mwaisango ambae alipiga picha zote na Kurushwa moja kwa moja Hewani ya Fredy Tony Njeje wote wa Tone Media Live Group, Ambao ni wamiliki wa mtandao huu.
Hii Truck mali ya F.M Abri wa Iringa
magazeti yamepotosha eti FUSO wakati ni FAW kuna haja ya wahiriri kupimwa uwezo wao.
R.I.P marehemu wote.
Poleni majeruhi, poleni wafiwa.
Mwanga wa milele uwaangazie marehemu wote.