Hahahaaa.. wamekusikia mkuuTatizo hapo siyo dereva Bali hilo bwawa la Mindu wajameni. Hapo kwenye hilo bwawa ndo watu wote wa Moro wanapotupa mayai viza na matunguri yao mengine wakitoka nayo mikese.
Watu wa Moro Mungu anawaona. Pungizeni ushirikina,bwawa limejaa matunguri hadi linataka damu za watu sasa.
Kwahiyo bwawa lifutiwe leseni?Tatizo hapo siyo dereva Bali hilo bwawa la Mindu wajameni. Hapo kwenye hilo bwawa ndo watu wote wa Moro wanapotupa mayai viza na matunguri yao mengine wakitoka nayo mikese.
Watu wa Moro Mungu anawaona. Pungizeni ushirikina,bwawa limejaa matunguri hadi linataka damu za watu sasa.
Ikiwezekana, au TB Joshua aje kuliombea. Nenda siku moja jioni uone msafara wa Boda Boda zitokazo mikese kuja tupa mayai viza paleKwahiyo bwawa lifutiwe leseni?
Sasa ndugu ni kampuni moja tu inayodhurika na hayo matunguri? Mbona ndo wanaongoza kwa ajali Road hiliTatizo hapo siyo dereva Bali hilo bwawa la Mindu wajameni. Hapo kwenye hilo bwawa ndo watu wote wa Moro wanapotupa mayai viza na matunguri yao mengine wakitoka nayo mikese.
Watu wa Moro Mungu anawaona. Pungizeni ushirikina,bwawa limejaa matunguri hadi linataka damu za watu sasa.
Hatua nzuri tumechoka na ajali
tumpeleke mzee wa upako akaliombee.Tatizo hapo siyo dereva Bali hilo bwawa la Mindu wajameni. Hapo kwenye hilo bwawa ndo watu wote wa Moro wanapotupa mayai viza na matunguri yao mengine wakitoka nayo mikese.
Watu wa Moro Mungu anawaona. Pungizeni ushirikina,bwawa limejaa matunguri hadi linataka damu za watu sasa.
Ajali zimetuchosha kabisaSasa ndugu ni kampuni moja tu inayodhurika na hayo matunguri? Mbona ndo wanaongoza kwa ajali Road hili
Umewaonea mashemeji zangu,tatizo lipo kwa waluguru palewanyakyusa acheni uchawi
tumpeleke mzee wa upako akaliombee.
mpumbavu wewe...wanyakysa wanahusika na nini katika ajali hiyo?wanyakyusa acheni uchawi