Picha: afande akirejesha utengamano wa kitaifa

Picha: afande akirejesha utengamano wa kitaifa

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,442
Kazi nzuri ya askari makini na mkakamavu wa kutuliza ghasia pale Makao makuu ya Polisi leo hii.

Naleta updates nyingine wandugu.
 

Attachments

  • 1411051739170.jpg
    1411051739170.jpg
    13.6 KB · Views: 1,248
sasa apa ndo umeriport nini? huyu mtu alikamatwa kosa lake nini? ikuwa kuwaje? wewe unafikiri tukisha ona ukakamavu tayari ndo habari?
 
mkuu hebu eleza hata kwa ufupi mwananchi mwenzetu aliyekwida ilikuwakuwa je?
 
Lengo ni kuleta siasa tu hapa.
Maana hana jipya,anaona kama ana deal na watoto.
Mwisho wa siku atakuambia maandamano ya leo
 
pliccm...hongereni lakini kumbukeni Libya, Misri, etc ilipinduliwa kwa mikono mitupu...
 
Sasa toka lini mwandishi wa habari akakamatwa na kupigwa bila sababu wangekua serious na kufatilia kesi na majukumu yao sio kuonea waandishi wa habari kwa kufuata masharti ya kisiasa ku favour chama tawala
 
Polisi wa Tanzania bwana wanashangaza,wangetumia nguvu kama hizo kukabili uhalifu na ufisadi nchi hii ingekuwa mbali,sasa wao ni counter demokracy
 
Sasa toka lini mwandishi wa habari akakamatwa na kupigwa bila sababu wangekua serious na kufatilia kesi na majukumu yao sio kuonea waandishi wa habari kwa kufuata masharti ya kisiasa ku favour chama tawala

Hiyo ndio kazi ya FFU
 
Sasa toka lini mwandishi wa habari akakamatwa na kupigwa bila sababu wangekua serious na kufatilia kesi na majukumu yao sio kuonea waandishi wa habari kwa kufuata masharti ya kisiasa ku favour chama tawala

Kipi kilichomtambulisha kwamba yeye ni mwandishi wa habari? kuwa na kamera, note book na kalamu bado hajakamilika je walikuwa wote ktk uniform? lawama zingine sipimwe kabla hazijatolewa, kwa mwenye akili yake timamu pale nani alikuwa msindikizaji na nani alikuwa mwandishi wa habari, hebu waandishi wamuige mwenzao michuzi anavyovaa kigumu ni nini? ni wachache sana wanaovaa kkikazi, ktk waliopigwa sikumuona hata mmoja anahilo vazi, Je waliotii sheria nao walipigwa?
 
Back
Top Bottom