Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Usanii wa act hauna hadhi ya kupewa airtime. Bora waweke tangazo la Joti linalipa
 
Kwa hapa Songea tuwe wakweli watu walifika wengi kwenye mkutano, ila nilichokiona ni kama chama fulani au mkakati wa chama fulani ulifanyika kwa kuwaandaa vijana wengi kuja mkutanoni na baada ya mkutano vijana hao waliokaa sehemu tofauti tofauti za mkutano, wakaanza kusema kwa hakika hawa ni wanaCCM, wametumwa wakitoa kashfa lukuki, na baadaye walionekana wakiwa vikundi vikundi katdiri ya mwelekeo wa watu wakisema wakitoa shutuma lukuki kwa ACT, na wale waliopanda kwenye madadala waliendelea kusema hayohayo, Hivyo ACT inapaswa kungalia kuwa wao wanapopanda mbegu nyuma kuna vijana wanapanda magugu
 
ACT- TANZANIA Means Ant-Chadema Truely Tanzania. Hiki sio chama cha Upinzani, ni kikundi cha kupinga Chadema. Hakina mikakati ya kupinga chama tawala bali chama kikuu cha upinzani. CHADEMA.

Hapo ndipo uwezo wako umeishia?
 
Kwa hapa Songea tuwe wakweli watu walifika wengi kwenye mkutano, ila nilichokiona ni kama chama fulani au mkakati wa chama fulani ulifanyika kwa kuwaandaa vijana wengi kuja mkutanoni na baada ya mkutano vijana hao waliokaa sehemu tofauti tofauti za mkutano, wakaanza kusema kwa hakika hawa ni wanaCCM, wametumwa wakitoa kashfa lukuki, na baadaye walionekana wakiwa vikundi vikundi katdiri ya mwelekeo wa watu wakisema wakitoa shutuma lukuki kwa ACT, na wale waliopanda kwenye madadala waliendelea kusema hayohayo, Hivyo ACT inapaswa kungalia kuwa wao wanapopanda mbegu nyuma kuna vijana wanapanda magugu
 
Mbona leo hakukuwa na hema hapo uwanjani,kwani hiyo picha ya wapi?
Upuuzi huu
 
CCM tunashukuru kwa msaada wenu. Ndio maana ACT Zitto akadai tunaanza Ngome za CCM kumbe lengo ni kupata wepesi wa wanachama wa maroli kufanikisha Mkutano
 
Wana ccm wanahuria mikutano ya act kuliko ya ccm yenyewe
 
Haaa!kweli hii nihatari,narudia tena sio chadema tu,ccm kaeni mkao wa mshtuko hamtaamini,jins mtakavyo poteza watu muhim
 
Zzk karogwa na nani?au mamaake alimuachia lahana?mbona hapo nyuma hakuwa hivi jamani?tumuombeeni bandugu,ni hayi tu.
 
Mkuu tumlaumu Mbowe na sio Zitto.
 
presha ya nini we kamanda? Ngoja siasa issues zifanye kazi sio siasa za matukio kama Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…