Pi (3.14159...) Katika Biblia


Huyo atakayeleta hayo nina hakika atakuwa ni Professor, na maProfessor wana madarasa, hivyo habari hizo lazima zitakuwa REFERENCE kwa undergraduate wote ili wafaulu mitihani yao. Matokeo yake habari zitasambaa mpaka zionekane ni za kweli hata kama Professor alizipublish kwa kutaka umaarufu tu aandikwe katika historia ya wagunduzi.

Yahya yule Mnajimu wa Afrika Mashariki (alikuwa mwongo kwelikkweli) alisema hivi:" Ukitaka kusema uongo, endelea kuurudiarudia, watu wote hata wenye akili timamu wataamini kuwa ndiyo ukweli."

Kwa hiyo tutaweza kuhoji tu kama atatokea Professor mwingine mwenye alternative DATA.
 


You have won again, even though you didn't answer the question at hand. Kuhusiana na hayo maneno ya Yahya, huo ni msemo aliokopi tu lakini sio ya kwake.

Msemo unaitwa (the BIG LIE THEORY) na ulianzishwa na Adolf Hitler and perfected by his minister of propaganda Joseph Goebbels.


If you tell a lie big enough and keep repeating it, people will eventually come to believe it. The lie can be maintained only for such time as the State can shield the people from the political, economic and/or military consequences of the lie [Joseph Goebbels]

The English follow the principle that when one lies, one should lie big, and stick to it. They keep up their lies, even at the risk of looking ridiculous [Joseph Goebbels, 1941]


Je uoni kwamba dini nazo zina mambo ya the big lie theory. Kuna mambo waumini mnayazungumza hapa hayana ukweli wowote, mnayaamini kwa sababu yamerudiwa rudiwa kwa karne nyingi na kuwa ukweli kwa waumini na taasisi za kidini.
 

Nimejikuta nikivutiwa na hii mada ya pyramids, kuliko hata mada kuu
NAOMBA KAMA INAWEZEKANA IANZISHIWE TOPIC YAKE
 

Thank you for the most informative lecture about Hitler and Goebbels. Sikuwa nimesikia mambo hayo. Kuhusu kujibu swali nilijibu hivyo hivyo kwa sababu hata figures zilikuwa zimekaa vibaya. Fikiria mtafiti akute udongo unaonyesha ni wa mwaka 1,400 BC, halafu aseme leo dunia ina miaka 400 tu. Huoni kasoro hiyo ya kimahesabu? Anyway it does not matter, nadhani halijaharibika neno.

Mambo ya dini tunasoma katika mandiko na kuangalia dunia yepi yamekwishajiri na yepi yanatarajiwa. Nitakupa Mfano: Isaya aliandika kuwa Mungu alinena kuwa "Nitawapa mwujiza, Bikira atapata mimba na atamzaa mtoto wa Kiume naye ataitwa Emmanuel". Leo wakristo wote wanamwabudu na kumtukuza Emmanuel. Soma Biblia na Ufunuo wa Yohana utakuta mambo mengi sana ya karne yetu yalishatokea kama yalivyotabiriwa katika Ufunuo huo. Tafadhali usiniulize kuanza kukutafutia, kasome mwenyewe halafu utafute duniani ishara mbali mbali zinazotajwa. K.m Ufunuo aya ya 12 unakutajia Imani inayotumia ishara ya mwezi na nyota, siyo uislamu huo?
 

Kwa hiyo kabla ya Ottoman Empire kuanza kutumia mwezi na nyota katika miaka 1700, huo utabiri wa Yohana ulikuwa unazungumza nini? Wewe unayeishi katika karne ya sasa na kuona Uislamu kutumia mwezi na nyota unaweza kuchukua utabiri wa Yohana na kusambaza kwa kuangalia mazingira ya sasa.

Je kabla ya 1700, walikuwa wanasema nini kuhusu ufunuo wa Yohana? Au kama kawaida utabiri unatimia baada ya events?
 

Wee vipi? Uislamu ulianza miaka ya 600 AD. Huko kwenye Ottoman Uislam ulikuwepo tayari kama ndiyo hiyo 1700. Mtume Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD kama sikosei. Na Ufunuo wa Yohana ulitokea miaka ya 95 AD.
 
Wee vipi? Uislamu ulianza miaka ya 600 AD. Huko kwenye Ottoman Uislam ulikuwepo tayari kama ndiyo hiyo 1700. Mtume Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD kama sikosei. Na Ufunuo wa Yohana ulitokea miaka ya 95 AD.

Wee Vipi? Mbona uelewi swali dogo tu? Ni kweli ufunuo wa Yohana ulitokea 95 AD. Ni kweli MM alizaliwa 570AD.

Kati ya 95AD na 570AD watu walikuwa wanasoma ufunuo wa Yohana, Je walikuwa wanasema nini kuhusu ufunuo huo?

MM hakutumia alama ya nyota na mwezi. Alama hizo zimeanza kutumika wakati wa Ottoman Empire. Je katika 570AD na 1700 AD walikuwa wanasema nini kuhusu huo ufunuo?

Soma jinsi vizazi mbalimbali walivyo tafsiri ufunuo wa Yohana utaona hakuna vipaji vya kutafsiri. Juhudi unazofanya ni longolongo.
 

Soma dini za watu mzielewe! According to you hata mskiti wa Maka alioswalia Mtume ulijengwa baada ya hao Ottoman Turks. Maana Ottoman ni Waturuki! Kama ni hivyo hata hivyo hakuna tatizo kwa sababu Uislamu ulipochukua mkondo wa kusambaa kwa Jihad Ufunuo wa Yohana ulikuwapo lakini ulikuwa tu bado haujakamilika. Umekuja kukamilika walipokuja kujua kuwa mwezi na nyota ndiyo ishara yao.

Kwa taarifa yako hata Mwislam wa leo ukimwambia ametabiriwa na Ufunuo wa Yoahana atakujeruhi, hajui! Yuko imara zaidi kupinga Biblia kuliko kuhusishwa nayo.
 

Mkuu unashindwa kujibu swali kiulaini. Kama mnataka watu wajiunge na dini zenu ina maana hizo dini hazina mwenyewe na wewe sio gatekeeper of truth.

Hata kama dini zina wenyewe, wewe unaiga tu. Hakuna reference yoyote inayokuhusu wewe katika kitabu chako cha dini.
 
Nimejikuta nikivutiwa na hii mada ya pyramids, kuliko hata mada kuu
NAOMBA KAMA INAWEZEKANA IANZISHIWE TOPIC YAKE

Have you tried Google?
Jaribu, utapata full details za Mapiramidi.
 

Zakumi naona sasa huyo mtoto uliyebeba mgongoni anaanza kukuletea matatizo. Husomi ukaelewa majibu rahisi kabisa. Mimi siigi dini, nakusomea mandiko MATAKATIFU. Tatizo labda wewe huyaamini, sasa hilo ni swala lako jingine kwa sababu kama huamini, waliosema walisema, tutakutana motoni!!! Huko ndiyo kwenye kuanza kuulizana tumefikaje huko.

Haya we endelea na kufanya tafiti na kuandika data huku ukijua utakufa. Dunia hii hukuiumba, umeikuta, ishi kwa kanuni ulizowekewa na aliyeiumba. Ukianza kutunga zako wakati wewe ni mpangaji, utakapohamishwa kule kwingine mimi sitaki kukutana na wewe. Sitaki sitaki sitaki kushiriki tafiti zenu hizo!!! Aslaaaaaani!!!!
 
Pi ni kitu kipo in nature, na ucalculate au usicalculate bado hutovunja principle, kwa hiyo huyo hata kama alitengeneza kichwani bila kitu pi still alichezea palepale tu.. Watu wa zamani nashangaa maarifa yote walikua wanatoa wapi, angalia hata sanamu nyingi unakuta ziko precise kabisa, zimechongwa kwamba ukiigawanya katikati, utakuta one half ni exact copy of the other to the very small points, yani accuracy ile huku hata machine walikua hawana hawa jamaa walikua wanashushiwa si bure. Siku hizi bila machine piga ua hakuna atakayefanya hiyo, hata kwa machine wapo wazinguaji
 

Asante kwa mawazo yako.
 
Huo ni utaalam wa wana Israel ambao ulikuwepo tangia enzi hizo walivokanyaga ardhi ya dunia.
 
kabla sijaendelea kucomment ngoja nimwite mpakwamafuta atoe neno hapa

 
Last edited by a moderator:

Nani alikwambia Sayansi inazidi Mungu?

Hujui kwamba SAYANSI INAKOPIA KWETU?
 
Wakristo kwenye Biblia tuna kitabu kinaitwa "HESABU" au Numbers?

Hivi hukuwai jiuliza kwanini?

Halafu unashangaa "PAI"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…