Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,234
Hi everyone.
Katika kitabu cha Wafalme (1Fal 7:23-26), tunasoma kuwa Mfalme Sulemani aliagiza mtu mmoja aitwaye Hiramu kutoka Tiro, kutengeneza beseni(?) kubwa la maji (mfano wa mcheduara) kwa ajili ya kupamba Hekalu Jipya.
Ni wazi kuwa ili utengeneze chombo chenye umbo la mcheduara (cylindrical shaped object) itakulazimu angalau ujue matumizi ya Pi.
Ebu tuangalie vipimo alivyotumia huyu Hiramu mtu mwenye hekima na akili aliyetengeneza beseni(?) kubwa la shaba.
Kipenyo = mikono 10 (180 cubits), urefu kwenda juu = mikono 5 (90 cubits), Pi = 3.14159..., mzingo (circumference)?
Mzingo = Pi*kipenyo au 2*Pi*nusu kipenyo.
= 3.14159*10 = 31.4159 (appr. 30)
"Tena akafanya bahari ..., na uzi wa mikono therathini kuizunguka kabisa". Rejea 1Fal 7:23-26.
Swali la kujiuliza: hivi huyu Hiramu alijuaje kuwa ni lazima kutumia Pi enzi zile za zamani kabla ya sayansi na maarifa havijashika kasi kubwa?
(Ikumbukwe, Hiramu aliishi miaka 1011 BC)