Physics practical O-level 2018

Epateletech

Member
Jun 17, 2015
41
14
Wana jukwaa naomba mawazo yenu juu ya Necta 2018 O-LEVEL kwa somo la Physics je ni Practical gani inaweza kutoka ili nijipange zaidi

Tusaidiane jamani
 
Soma simple harmonic au simple.pendelum.,moja wapo.inatoka.swali la.kwanza, swali.la pili pitia ohms law au kutafuta internal resistance ambayo jibu ni 0.3-05 ohms,
 
uhakika ndugu
Pitia hizo, nimekupa hizo kwa uzoefu wangu ,pitia sana practical zote za aina ya pendelum na hookes law,

Dk 5 ushamaliza swali, zinafojika haraka sana,

Swali la pili pitia maswali hasa ya kutafuta refractive index , kama unajua nalo linafojika

Kama hulipend ,swali la tatu huwa la umeme, hapo hasa pitia ohms law, na kutafuta internal resistance of cells
 
Shukurani
 
Wana jukwaa naomba mawazo yenu juu ya Necta 2018 O-LEVEL kwa somo la Physics je ni Practical gani inaweza kutoka ili nijipange zaidi

Tusaidiane jamani
Wewe ndio mnaoanza mitihani kesho?
 
ndio mkuu
Kila la Kheri! Nina imani waalimu wenu wanawapa mitihani ya miaka ya nyuma kufanya mazoezi na kuwaeleza maswali gani hayakoseni. Halahala usijichanganye hapa dakika za mwisho kwa utakayoelezwa na wana JF wenzako.
Mitihani mema!
 
Pitia hizo, nimekupa hizo kwa uzoefu wangu ,pitia sana practical zote za aina ya pendelum na hookes law,

Dk 5 ushamaliza swali, zinafojika haraka sana,

Swali la pili pitia maswali hasa ya kutafuta refractive index , kama unajua nalo linafojika

Kama hulipend ,swali la tatu huwa la umeme, hapo hasa pitia ohms law, na kutafuta internal resistance of cells
Tutakutafuta ww nyie Ndiyo mnaiba mitihan
Hiyo uliyotoa ni One month before
Acha Mara moja Hiyo tabia
 
Kila la Kheri! Nina imani waalimu wenu wanawapa mitihani ya miaka ya nyuma kufanya mazoezi na kuwaeleza maswali gani hayakoseni. Halahala usijichanganye hapa dakika za mwisho kwa utakayoelezwa na wana JF wenzako.
Mitihani mema!
shukurani
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Mtihani mwema mkuu, Mungu akusaidie ufanye vizuri.

Olevel kitambo wengine tuliishasahau hata kuhesabu oscillations za simple pendulum
 
Tutakutafuta ww nyie Ndiyo mnaiba mitihan
Hiyo uliyotoa ni One month before
Acha Mara moja Hiyo tabia
Acha upumbavu wako, hiyo nimetoa hints kutokana na uzoefu wangu ,jins ninavyoziona pepa za necta zinavyokuja,

Unadhani kuiba mtihan ni rahisi?kama kudokoa nyama jikoni
 
Hapa waliosoma nguini watakimbia kama wanaume wa mkoa fulani wanapoona panya road. Mambo ya simple pendulum, Ohm's law. Nk. Long time Sana
 
Wana jukwaa naomba mawazo yenu juu ya Necta 2018 O-LEVEL kwa somo la Physics je ni Practical gani inaweza kutoka ili nijipange zaidi

Tusaidiane jamani
We jamaa ni muhitimu kweli? Unauliza swali la kijinga sana, pasipotoka hapo unapo pahisi siutafeli.Acha kucheza na maisha yako itakuja kujuta.Soma ulchofundishwa kwa mujibu wa silabasi
 
Back
Top Bottom