Mimi nitajaribu kuelezea
function
Function kwenye programming ni mstari au mistari ya codes inayofanya kazi fuani. kazi hii inaweza kuwa
- sipme task kama kudisplay au kuprint kitu kwenye screen
- kuita function nyingine
- Kufanya task fulani. complex yenye fucnti nyingine ndani yake.
Pia kwenye programing Kuna aina mbali mbali za functions. Zipo system/ Inbulit functions mfano kwenye C main() ni root function ya fucntion zote . Kwenye PHP kuna system functtion nyingi tu kama echo() , date (), isset(), etc Unaweza kuona
list ya inbuilt funtions za php hapa
zadi ya inbulit function prgrammer anaweza kutengeza function zake. ukiangali CMS application nyingi zinatumia pia
user defined function atika mambo ya tovuti.
Mfano
Badala ya kurdia Header na footer za ukurasa wa tovuti prohgramer atatengeneza functionya
foooter ya
header. Kwa hiyo ataandika coes za header au footer mara moja tu. ni kila mara atakapotaka itokee footer au header atakachfanya ni kuita( Calling) ile function.
faida
- faida moja wapo ya function ni kuwezesha ku re use code sehemu tofauti tofauti by just caling the spefic function.Kwa hiyo bila fuction prgram iiyonadikwa kwa mistari eg 300kwa kutumi functions basi inaweza kukamilika kwa mistari 1000 function zisipotumika.
Nawasilisha