PHOTOSHOP

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
325
Reaction score
198
nawezaje kujijua ni rangi gani nichanganye zinaendana wakati nafanya drawing? au natengeneza picha? napenda kufahamu principles inayotumika ilikuleta muonekano mzuri!! na hii inaitwaje kitaalamu
 
Nenda darasani acha dandia fani za watu kama unataka kujua kitu Kakisomee au tafuta walimu wa kitu husika...

jibu la swali lako hapo juu..Analo mwalimu aliekundisha photoshop...
 
Nenda darasani acha dandia fani za watu kama unataka kujua kitu Kakisomee au tafuta walimu wa kitu husika...

jibu la swali lako hapo juu..Analo mwalimu aliekundisha photoshop...
ok! but unawezanisaidia pia coz sio wote unaowanaona wapo vizuri walikwenda darasani
 
ok! but unawezanisaidia pia coz sio wote unaowanaona wapo vizuri walikwenda darasani
Yawezekana maana ya "darasa hauifahamu" mkuu hebu nicheki PM nikupe what to do!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…