Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
upload YOUR cool photoshop pics and lets find who is hot
ONE LIKE ONE VOTE
DEAD LINE TILL THE END OF FEBRUARY
am not that good in photoshop but let me introduce the knockout
View attachment 81716
huwezi kuleta challenge ya photoshop bila kusema limetaget kina nani, huwezi kushindanisha wakongwe na wapya, pia utajuaje kuwa picha imetengenezwa na muhusika?
word......hata mimi nilitaka kuuliza hilo.huwezi kuleta challenge ya photoshop bila kusema limetaget kina nani, huwezi kushindanisha wakongwe na wapya, pia utajuaje kuwa picha imetengenezwa na muhusika?
je kama katengeneza yeye then kapost huko?
hakunaga mambo ka hayo!
admit hiyo ni ctrl c+ctrl v,,,ambacho si kitu kibaya ila lazima admit kwamba sio kaz yakee!
by the way yeye kaweka picha 2 hajasema lolote